SAMATTA ATUPIA GENK IKIUA 2-1

May 30, 2015

UMAARUFU WA RAMADHANI SINGANO NA MAHALI ANAPOISHI HAVIFANANI

Chumba anacholala Singano na Kaka yake Hais Ramadhani UMAARUFU ni kama utumwa! huwezi kuwa huru kama una jina kubwa, halafu maisha yako ni ya kawaida tu. Kuna idadi kubwa ya wachezaji maarufu wa mpira wa mguu nchini, pia wapo wanamuziki n.k, lakini...

SIMBA SC YASAJILI KIPA WA JKU MIAKA MIWILI

Kipa wa JKU ya Zanzibar, Mohammed Abraham Mohammed (kulia) akiwa na Mwenyekiti wa Kamati ya Usajili ya Simba SC, Zacharia Hans Poppe ofisini kwake, Mbezi, Dar es Salaam mara baada ya kusaini Mkataba wa miaka miwili kuitumikia...

May 29, 2015

KURASA ZA MAGAZETI YA MICHEZO LEO MAY 29

MESSI ALIVYOJIVINJARI UFUKWENI NA DEMU WAKE MJAMZITO SAMBAMBA NA MTOTO WAO WA KIUME A+ A- Print Email Wanasoka kadhaa barani Ulaya tayari wameshajitosa ufukweni wakiwa wamemaliza msimu wao, lakini supastaa wa Barcelona, Lionel Messi nae ameamua kupata wasaa wa kupunga upepo 'beach' ingawa...

SASA NI RASMI SIMBA YAMTEMA MESSI

Kikosi cha Simba, rasmi kimetangaza kumtema kiungo wake Ibrahim Twaha ‘Messi’. Messi alisajili na Simba misimu miwili iliyopita, lakini hakupata nafasi ya kutosha kuonyesha cheche zake. Ingawa alianza kuonyesha cheche wakati wa Abdallah Kibadeni, baada ya Zdravko Logarusic kutwaa...

AZAM FC YAAJIRI MAKOCHA KUTOKA UINGEREZA

*Watoka Arsenal, Southampton za Uingereza Na Bertha Lumala, Dar es Salaam ‘Baada ya muda mrefu wa fununu, Azam wamekata kiu leo na kuanika makocha wao wapya wanaotoka Uingereza.’ HII KUFURU! Ndivyo unavyoweza kusema baada ya jana uongozi wa Azam FC kumtangaza Muingereza Stewart John Hall kuwa...

MUSSA MGOSI ‘MABAO’, ASAINI MSIMBAZI

Na Mahmoud Zubeiry, DAR ES SALAAM SIMBA SC imemsajili tena mshambuiaji wake wa zamani, Mussa Hassan Mgosi (pichani juu) leo hii, baada ya takriban misimu miwili mizuri akiwa na Mtibwa Sugar ya Morogoro. Mwenyekiti wa Kamati ya Usajili ya Simba SC, Zacharia Hans Poppe ameiambia BIN ZUBEIRY...

May 28, 2015

‘KAPTENI’ HANS POPPE AWASHUKIA MAWAKALA UCHWARA BONGO

Na Hemed Kivuyo, DAR ES SALAAM MWENYEKITI kamati ya usajili ya timu ya soka ya Simba SC, Zacharia Hans Poppe amewatolea uvivu wale wanaojiita `mawakala `wa wachezaji hapa nchini waliyoanza kujitokeza Nyakati hizi za Usajili wakipanga bei za Wachezaji bila kufuata utaratibu. Amesema kuwa wakati...

SIMBA SC YASAJILI MABEKI WAWILI KWA MPIGO, MMOJA WA AZAM MWINGINE WA JKT RUVU

  Na Mahmoud Zubeiry, DAR ES SALAAM SIMBA SC imesajili mabeki wawili wa Kizanzibari, Samir Hajji Nuhu wa kushoto na Mohammed Fakhi wa kati usiku wa leo. Nuhu alikuwa mchezaji wa Azam FC kwa misimu miwili hadi msimu wa 2013/2014 kabla ya kuumia goti na kuondolewa katika usajili,...

May 27, 2015

HANS POPPE AMTOLEA UVIVU MENEJA WA MESSI, AMUAMBIA AWE MAKINI SANA

= Mwenyekiti wa Kamati ya Usajili ya Simba, Zacharia Hans Poppe amemvulia uvivu meneja wa kiungo wao, Ramadhani Singano ‘Messi’ kwamba analazimika kuwa makini. Hans Poppe amesema meneja huyo anapaswa kuwa makini kutokana na maneno aliyoyatoa kwamba mkataba wa mchezaji wake ‘umechezewa’. “Kwa kweli...

HARRY KANE ATOA MSIMAMO JUU YA KUSAJILIWA MAN UITED

Harry Kane:  aliifungia magoli 21 Tottenham  katika msimu wa 2014/2015 wa ligi kuu England. Harry Kane amesisitiza kuwa ataendelea kuichezea  Tottenham baada ya tetesi kuenea kwamba Manchester United wanavutiwa naye. Mchezaji huyo bora kijana wa mwaka wa PFA amekumbana na swali...

May 26, 2015

HIVI NDIVYO VITA VYA SIMBA NA YANGA ILIVYO KUWA KUMWANIA PETER MWALYANZI

WEKUNDU wa Msimbazi Simba wamefanikiwa kumsainisha mkataba wa miaka miwili kiungo mshambuliaji, Peter Mwalyanzi kutokea Mbeya City fc. Mwalyanzi alisaini mkataba huo jana na baada ya hapo alifanya mahojiano maalumu na Sports Xtra ya Clouds fm na hapa chini ni baadhi ya mambo aliyozungumza: Swali:...

REAL MADRID YAMFUKUZA KAZI ANCELOTTI BAADA YA KUMALIZA MSIMU BILA TAJI

KLABU ya Real Madrid imemfukuza kocha Carlo Ancelotti mwaka mmoja na siku moja tangu aipe timu hiyo taji la 10 la Ulaya. Rais wa klabu, Florentino Perez amethibitisha katika Mkutano na Waandishi wa Habari usiku wa Jumatatu juu ya uamuzi wa kumtimua kocha huyo wa tisa katika miaka yake 12 ya...

May 25, 2015

HUU NDIO UAMUZI WA MAN U KWA FALCAO

  Frank Lampard, Didier Drogba, Steven Gerrard na Brad Fiedal leo watacheza mechi zao za mwisho katika ligi kuu ya England baada ya miaka zaidi ya 10 kwa kila mmoja wao. Hata hivyo macho na masikio ya wapenzi wengi wa soka yapo katika kuangalia hatma ya mshambuliaji wa kicolombia Radamek...

TFF YATOA MAAMUZI JUU YA MART NOOIJ

Kamati ya utendaji ya TFF imesikitishwa na mwenendo mbovu wa Taifa Stars Rais wa TFF, Jamal Malinzi kwa niaba ya kamati ya utendaji amewaomba radhi wapenzi wa mpira kwa matokeo mabaya ya Taifa Stars kwenye michuano ya  Cosafa. Kikao cha kamati ya utendaji kilipokea taarifa juu ya mwenendo...

KUHUSU CHANONGO KUMALIZANA NA YANGA MENEJA WAKE ANEA

STORI ya winga Haruna Chanongo kusajiliwa na Yanga imegonga vichwa vya habari nchini, lakini taarifa mpya kutoka kwa Meneja wake, Jamal Kasongo ni kwamba bado nyota huyo hajamwaga wino Jangwani. Msimu uliopita wa ligi kuu soka Tanzania bara uliomalizika mei 9 mwaka huu, Chonongo alikuwa anaichezea...

HUYU NDIYE ATAKAE ZIBA PEGO LA NGASSA YANGA

Na Mahmoud Zubeiry, DAR ES SALAAM YANGA SC imewapiga bao wapinzani, Simba SC na Azam FC katika vita ya kuwania saini ya kiungo hodari wa pembeni, Deus Kaseke. Kaseke amesaini Mkataba wa miaka miwili na Yanga SC asubuhi ya leo, makao makuu ya klabu, Jangwani, Dar es Salaam mbele ya Katibu...

PETER MWALYANZI ASAINI SIMBA MIAKA MIWILI

Na Mahmoud Zubeiry, DAR ES ALAAM WAKATI Yanga SC wakisherehekea saini ya winga Deus Kaseke, Simba SC nao wamefanya yao mchana huu. Kiungo hodari mchezeshaji Peter Mwalyanzi kutoka timu ile ile, Mbeya City aliyotokea Kaseke amesaini Mkataba wa miaka miwili kujiunga na Wekundu wa Msimbazi. Mwalyanzi ...

May 24, 2015

HII NI REKODI NYINGINE ALIYOIVUNJA RONALDO BAADA YA MCHEZO WA LEO

Mshambuliaji hatari wa Real Madrid ameivunja rekodi aliyoiweka mwenyewe ya misimu 3 iliopita baada ya kuibuka mfungaji bora wa ligi kuu ya Hispania na kufikisha magoli 61 kwa michuano yote ya msimu huu,amefikisha idadi hiyo baada ya kufunga Hat-trick mapema leo baada ya mchezo wao dhidi ya...

NGASSA PUSHAPU 200 KILA SIKU, MAANDALIZI YA PSL SI MCHEZO

Mshambuliaji wa Free State Stars ya Ligi Kuu ya Afrika Kusini, Mrisho Khalfan Ngassa hupiga pushapu 200 kila siku asubuhi kabla ya kuingia kwenye programu nyingine za mazoezi kama kukimbia na kucheza na mpira.  Mshambuliaji huyo wa zamani wa Yanga SC kwa sasa yupo mapumzikoni...

May 23, 2015

MECKY MEXIME ATAJA KIKOSI CHAKE BORA VPL2014/2015

TUNAENDELEA  kuangalia vikosi bora vya makocha wa timu za ligi kuu soka Tanzania bara, makocha wasiokuwa na timu na wachambuzi wa soka kwa msimu wa 2014/2015. Jana tulikuwekea kikosi bora kilichopendekezwa na kocha wa Mbeya City fc, Juma Mwambusi na tukaahidi kukupatia kikosi bora cha kocha...

NDANDA FC KUMUIBUKIA ALIKO DANGOTE

Bilionea Aliko Dangote Uongozi wa Ndanda FC unajipanga kukutana na bilionea namba moja barani Afrika, Aliko Dangote kwa ajili ya kumuomba kuwa mmoja wa wadhamini wa juu katika timu hiyo kabla msimu ujao haujaanza. Salehjembe ameripoti kwamba  mwenyekiti wa Ndanda FC, Hamad Omari alisema...

MWAMBUSI AICHOMOLEA NJE AZAM FC

  WAKATI Azam fc wakidai idadi ya wachezaji wa kigeni ligi kuu soka Tanzania bara iongezwe kutoka idadi ya sasa ya watano, kocha wa Mbeya City fc, Juma Mwambusi amepinga mtazamo huo. Hoja ya Azam kutaka idadi iongezeke ni kupata wachezaji wengi wa kigeni watakaowasaidia katika michuano...

May 22, 2015

JULIO ATAJA KIKOSI CHAKE BORA CHA VPL 2014/2015

BAADA ya ligi kuu soka Tanzania bara msimu wa 2014/2015 kumalizika mei 9 mwaka huu na Yanga wakiibuka mabingwa, mtandao huu unaendelea na zoezi la kukuketea vikosi bora vilivyochaguliwa na makocha wa timu za ligi kuu na wasiokuwa na timu pamoja na wachambuzi wa soka nchini. Jana kocha...

IVO MAPUNDA ATIMKIA OMAN, MIPANGO YA MUSLEY HIYO

Na Princess Asia, DAR ES SALAAM MAKIPA wote wa Simba SC, wakiongozwa na ‘mkubwa wao’ Ivo Mapunda watakwenda mafunzoni nchini Oman. Ivo pamoja na kipa wa pili, Hussein Sharrif ‘Casillas’ na makipa wa timu ya vijana wanaokomazwa kikosi cha kwanza, Peter Manyika na Dennis Richard wanatarajiwa kuondoka...

JOHN BOCCO AFICHUA SIRI YA TAIFA STARS KUBORONGA,

"Nikiwa kama mchezaji waki TANZANIA ninaecheza ligi ya hapa nyumbani na nikiwa mmoja wa wachezaji katika Timu ya Taifa ya kizazi hiki cha sasa wa Mudamrefu. Naandika hivi nikiwa na huzuni na masikitiko makubwa juu ya mpira wetu wa TANZANIA kwa ujumla kuanzia club zetu, ligi yetu na mpaka...