SAMATTA ATUPIA GENK IKIUA 2-1

Jun 4, 2015

NOOIJ ABEBA 23 TAIFA STARS SAFARI YA ADDIS KUFUATA DAWA YA 'KUNYONGA' MAFARAO

Na Baraka Kizuguto, DAR ES SALAAM KOCHA Mkuu wa timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) Mart Nooij ametangaza kikosi cha wachezaji 23 watakaoondoka leo jioni kuelekea Addis Ababa nchini Ethiopia kuweka kambi ya wiki moja kujiandaa na mchezo dhidi ya Misri Akizungumza na Waandishi wa...

MANCHESTER UNITED IMEWAPIKU BARCELONA NA BAYERN KUMNASA MCHEZAJI HUYU

Usajili ndio mpango mzima hivi sasa huko Ulaya. Manchester united imewashinda Bayern Munich na Barcelona kwenye vita ya kupaya saini ya mchezaji wa Borussia Dortmund. Mchezaji huyo ambae anacheza sehemu ya midfield amesakubaliana mambo ya msingi na Manchester united. Gundogan anatarajiwa  ...

MAKOMBE 24 KABLA YA KUONDOKA, JE BABU XAVI ANAWEZA KUONGEZA MOJA JUMAMOSI?

Wakati Xavi Harnandez ,35, anajiandaa na kustaafu rasmi baada ya kuitumikia Barcelona kwa miaka 17 ya maisha yake, swali je, atafanikiwa kuongeza kombe jingine hapo keshokutwa. Barcelona inashuka dimbani mjini Berlin, Ujerumani kucheza fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya dhidi ya Juventus...

MWADUI YA JULIO YAIBOMOA TENA MBEYA CITY, YAMTWAA STRAIKA PAUL NONGA

Kama ulidhani Mwadui Football club wanafanya utani, basi ujue unajidanganya maana sasa wamemsajili straika tegemeo wa Mbeya City, Paul Nonga. Nonga amemsajili Nonga ambaye aliwahi kuichezea ikiwa daraja la tatu klabla ya kuondoka na kujiunga na JKT Oljoro ya Arusha. Nonga amejiunga...

Jun 2, 2015

AZAM FC YAWARUHUSU SIMBA KUMCHUKUA BEKI HUYU

Na Prince Akbar, DAR ES SALAAM AZAM FC imewataka Simba SC kuwasilisha maombi ya kumchukua beki David Mwantika (pichani kushoto) kama kweli kweli wanamuhitaji. Ofisa Mtendaji Mkuu wa Azam FC, Saad Kawemba ameiambia BIN ZUBEIRY jana kwamba, Mwantika ana Mkataba na klabu hiyo hadi mwishoni mwa...

BERBATOV 'AFUNGASHIWA VIFURUSHI' VYAKE AS MONACO

MSHAMBULIAJI wa zamani wa kimataifa wa Bulgaria, Dimitar Berbatov anatafuta timu ya tatu ya kujiunga nayo England, baada ya kutemwa na AS Monaco ya Ufaransa. Berbatov alijiunga na vigogo hao wa Ligue 1 Januari mwaka 2014 kutoka Fulham ya England na atakumbukwa kwa kufunga bao...

HANS POPPE: SIMBA SC HATUSAJILI ‘BENDERA FUATA UPEPO’

Na Princess Asia, DAR ES SALAAM MWENYEKITI wa Kamati ya Usajili ya Simba SC, Zacharia Hans Poppe (pichani juu) amesema kwamba ‘hawasajili bendera fuata upepo’, bali wanasajili kulingana na mahitaji ya timu yao. Akizungumza na BIN ZUBEIRY jana, Poppe amesema kwamba watu wanapenda...

MBEYA CITY YASAJILI 'STRAIKA'

Na Mwandishi Wetu, MBEYA MSHAMBULIAJI wa kutumainiwa wa Ndanda FC ya Mtwara, Gideon Brown (pichani juu) amesaini Mkataba wa mwaka mmoja na nusu kujiunga na Mbeya City FC ya Mbeya. Brown amechagua kujiunga na kikosi cha Juma Mwambusi katika msimu ujao huku akiweka kando ofa kadhaa, alizopata...