
Ukishafanya kazi ya kuiongoza taasisi kubwa kama Liverpool mambo yako
hayawezi kuwa mabaya hata kama umeachishwa kazi. Hivyo ndivyo imemtokea
Brendan Rodgers ambae siku kadhaa zilizopita alifukuzwa kazi na club ya
Liverpool na sasa hivi taarifa zimetoka kwamba ameshapata kazi mpya.
Kazi ya ukocha...