SAMATTA ATUPIA GENK IKIUA 2-1

Dec 29, 2015

ALICHOSEMA AVEVA KUHUSU SIMBA KUJENGA UWANJA

  Uongozi wa Simba umesema utaanza rasmi kujenga uwanja wao wa mazoezi mwezi ujao. Rais wa Simba, Evans Aveva amesema watautumia uwanja wao wanaoumiliki kuanza kujenga uwanja wa mazoezi. “Tutaanza kujenga uwanja kwa ajili ya mazoezi kwa ajili ya kupunguza gharama, kwa siku tunalazimika...

ALICHOSEMA PLUIJM BAADA YA KUFUKUZWA KWA NIYOZIMA

KOCHA Mkuu wa Yanga SC, Mholanzi Hans van der Pluijm amesema kwamba amekwishamuondoa kiungo Haruna Hakizimana Fadhil Niyonzima katika mipango yake na sasa anasonga mbele bila yeye. Akizungumza na BIN ZUBEIRY SPORTS – ONLINE leo mjini Dar es Salaam, Pluijm amesema kwamba anaunga mkono hatua iliyochukuliwa...

Dec 28, 2015

AVEVA AFUNGUKA SUALA LA KUIBINAFSISHA SIMBA

Rais wa Simba, Evans Aveva amesema suala la kuibinafsisha klabu hiyo linahitaji ungalifu mkubwa katika mambo kadhaa. Aveva amesema kuwa Simba inaweza kubinafsishwa lakini lazima uongozi uhakikishe na kujua thamani ya klabu  hiyo ikiwa imeishajiridhisha kama ubinafsishaji kweli una...

BAADA YA MECHI ZA LEO JUMATATU MSIMAMO LIGI KUU ENGLAND UPO HIVI

...

HUU NDIO MSIMAMO WA LIGI KUU TANZANIA

RnkTeamMPWDLGFGA+/-Pts 1Young Africans1310303052533 2Azam1210202681832 3Simba SC127321991024 4Mtibwa Sugar11731147724 5Mwadui136431612422 6Stand United137151411322 7Tanzania Prisons136341314-121 8Toto African134541215-317 9Mgambo JKT12345710-313 10JKT Ruvu133371520-512 11Mbeya City132561115-411 12Majimaji13328823-1511 13Ndanda12165914-59 14Coastal Union13166614-89 15Kagera Sugar13238416-129 16African...

WEGER AANZA KUMFUKUZIA CHICHARITO

Kocha Arsene Wenger wa Arsenal sasa anataka kuimarisha safe take ya ushambuliaji. Wenger anataka kumsajili mshambuliaji nyota wa zamani wa Manchester United, Javier Harnandez maarufu kama Chicharito. Chicharito sass anakipiga katika klabu ya Bayer Leverkusen ya Ujerumani na amekuwa...

ALICHOSEMEA ABDALLAH BIN KLEB KUHUSU KUFUKUZWA KWA NIYONZIMA

MILIONEA Abdallah Ahmed Bin Kleb aliyemleta kiungo Haruna Hakizimana Fadhil Niyonzima Yanga SC, ameunga mkono uamuzi wa kufukuzwa kwa mchezaji huyo. Yanga SC leo imevunja Mkataba na kiungo huyo wa kimataifa wa Rwanda kwa madai ya mchezaji huyo wa Amavubi kukiuka vipengele. “Mimi kwa kweli ninaunga...

SIMBA KUCHEZA NA URA YANGA NA AZAM FC MAPINDUZI CUP

  Mabingwa watetezi, Simba SC wamepangwa Kundi A pamoja na URA, Jamhuri na JKU Na Ali Bakari, ZANZIBAR MABINGWA watetezi, Simba SC wamepangwa Kundi A katika Kombe la Mapinduzi 2016 pamoja na URA ya Uganda, Jamhuri ya Pemba na JKU ya Unguja. Katika ratiba iliyotolewa leo na Chama cha Soka Zanzibar...