SAMATTA ATUPIA GENK IKIUA 2-1

Jan 31, 2016

HII NDIO SABABU YA SAMATTA KUVAA JEZI NAMBA 77

Mbwana Samatta ambaye kwasasa ni mchezaji wa kulipwa wa klabu ya Genk ya Ubelgiji amezungumza na shaffihdauda.co.tz kwanini ameamua kuchagua kuvaa jezi yenye namba 77 mgongoni. Samatta amesema alitokea kuipenda jezi namba saba tangu akiwa TP Mazembe ikafikia wakati akaanza kuushawishi uongozi wa klabu...

Jan 28, 2016

MAYANJA AMTAJA KIPA NAMBA MOJA SIMBA

Na Haji balou Dar es salaam Siku chache baada ya kuanza kibarua cha kukinoa kikosi hicho, Kocha Mkuu wa Simba Mganda, Jackson Myanja, amemtangaza Muivory Coast, Vincent Angban kuwa kipa namba moja kwenye kikosi chake. Kocha huyo aliitoa kauli hiyo, hivi karibuni kabla ya mechi ya Kombe la FA dhidi ya...

KOCHA SIMBA AMTAJA KIPA BORA LIGI KUU BARA

Ligi Kuu Bara imekuwa na ushindani mkubwa, mastraika wakisaka kiatu cha dhahabu makocha wakitafuta ushind VPL, Makipa nao hawapo nyuma, Je! kipa bora msimu huu nani? Kipa wa Azam FC, Aishi Manula, ametajwa kuwa ndiye kipa bora katika Ligi Kuu Bara msimu huu mpaka sasa akiwapiku makipa Deogratius Munishi...

Jan 27, 2016

TETESI KUHUSU KOCHA MPYA MAN UNITED NA CHELSEA

Taarifa kutoka Manchester United zimedai kwamba uongozi wa klabu hautakata tamaa kufuatilia saini na na huduma za meneja Pep Guardiola anayemaliza muda wake katika Bayern Munich, ingawa habari zilitependekeza kwamba atajiunga na mahasimu Manchester City. Mtendaji Makamu Mwenyekiti Ed-Wood Ward anataka...

KIPRE AIOKOA AZAM DAKIKA ZA JIONI DHIDI YA ZESCO

KLABU Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati, Azam FC imeanza kwa sare katika harakati zake za kuwania ubingwa wa michuano maalumu nchini Zambia baada ya jioni ya leo kupata matokeo ya bao 1-1 dhidi ya wenyeji wao Zesco United ya huko. Kocha wa Azam FC, Stewart Hall, aliingia kwenye mchezo huo kwa kukifanyia...

ALICHOSEMA SUAREZ KUHUSU YEYE KUCHEZA TENA ENGLAND

Mshambuliaji hatari wa Barcelona, Luis Suarez amezungumzia uwezekano wa yeye kurudi nchini England na kuichezea klabu yake ya zamani ya Liverpool, huku akisema kuwa ndio klabu pekee anayoweza kurudi England kwa ajili yake. Suarez ambaye aliichezea Liverpool kwa kipindi cha miaka 2 na nusu kabla ya kusajiliwa...

HUYU NDIYE MCHEZAJI ANAYEMZIDI MESSI KWA MAGOLI

Mashabiki wengi wa kilabu ya Athletic Bilbao wangecheka iwapo ungetaja miaka ya nyuma kwamba Aritz Aduriz angelinganishwa na Lionel Mesii,Cristiano Ronaldo na Luiz Suarez. Mchezaji huyo anayekaribia miaka 35 ameingia katika kumbukumbu za daftari lenye wachezaji wenye mabao mengi pamoja na Messi,Suarez,Karim...

Jan 26, 2016

MAKOCHA KUMI WA KIHISTORIA LIGI KUU ENGLAND

Makocha 10 bora katika historia ya Ligi Kuu ya England Ligi Kuu ya England huchukuliwa kama ligi bora katika ulimwengu wa soka, ambapo utakuta vilabu kabambe kama Manchester United, Chelsea, Liverpool na Arsenal na nyingine zenye uwezo katika mchuano. Ni ligi ya kupendeza kwa watu wengi duniani ambapo...

Jan 24, 2016

HILI NDIO GOLI AMBALO KAPOMBE HAWEZI KULISAHAU AKIWA AZAM FC

Kapombe amesema kuwa hataweza kulisahau bao alilofunga dhidi ya Ndanda goli ambalo liliipa ushindi wa bao 1-0 timu yake ya Azam fc katika mchezo uliofanyika Uwanja wa Nangwanda Sijaona, Mtwara. “Kwa kweli mimi nalifurahia sana bao nililofunga dhidi ya Ndanda dakika za mwisho, lilikuwa ni bao muhimu...

Jan 23, 2016

NDEMLA ANUKIA TP MAZEMBE

Kiungo kinda wa Simba, Said Ndemla, anatarajia kwenda kufanya majaribio kwenye kikosi cha TP Mazembe ya DR Congo ili kusaka nafasi ya kucheza soka katika klabu hiyo. Hivi karibuni, Watanzania, Abuu Ubwa na Haruna Chanongo walienda kufanya majaribio Mazembe ambapo kwa sasa hatua iliyobaki ni makubaliano...

Jan 22, 2016

KUMBE KIPRE KWAO ANAJULIKANA NA MAJIRANI TU

Unaweza kudhani ni utani, lakini ukweli ni kwamba kati ya Waivory Coast wanaocheza soka hapa nchini ni Pascal Wawa (Azam FC) na Vincent Angbani (Simba) wanaojulikana kuwa wanacheza soka Tanzania, lakini upande wa mwenzao fowadi wa Azam, Kipre Tchetche kuna kitu ambacho kinashangaza kidogo. Kwa hapa...

Jan 20, 2016

SAMATTA ARUDI MAZEMBE KUMALIZIA MKATABA, KATUMBI HOI

MSHAMBULIAJI wa kimataifa wa Tanzania, Mbwana Ally Samatta anaondoka asubuhi ya leo kwenda Lubumbashi, Jamhuri ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC), kujiunga na klabu yake, TP Mazembe wakati sakata la uhamisho wake likiendelea. Samatta anaondoka na Maofisa wa Wizara ya Michezo walioteuliwa kwenda...

Jan 19, 2016

MAYANJA ATOA NENO KUHUSU MAKIPA SIMBA

Kocha Mkuu wa muda wa Simba, Jackson Mayanja amewataka makipa Peter Manyika na Vicent Agbani raia wa Ivory Coast kuwa katika utimamu wa asilimia mia kwa fitnesi. Mayanja raia wa Uganda amewataka makipa hao kuongeza mazoezi kuhakikisha wanakuwa walinzi sahihi katika kila dakika 90 za mechi. “Kwa mchezaji...

Jan 17, 2016

NIYONZIMA AOMBA MSAMAHA KWA MASHABIKI YANGA

KIUNGO Haruna Hakizimana Fadhil Niyonzima ameomba msamaha Yanga SC na kuahidi kutorudia kuikwaza klabu kwa namna yoyote. Mwezi uliopita, Yanga SC ilitangaza kuvunja Mkataba na Nahodha huyo wa Rwanda kwa tuhuma za kukiuka vipengele vya Mkataba wake. Lakini leo katika Mkutano na Waandishi wa Habari makao...

MKUDE ATOA YA MOYONI BAADA YA KUFUKUZWA KERRY

KIUNGO wa Simba, Jonas Mkude, ameonyesha masikitiko yake kwa mtindo ulioanza kuzoeleka ndani ya Simba wa ingia toka ya makocha kila uchao, akidai inawavuruga, licha ya kwamba wachezaji ni kama wanajeshi na katu hawapaswi kuchagua pori la kupigania vita. Mkude alisema wachezaji wa Simba wapo kwenye...

NIYONZIMA KUFANYAKIKAO NA WANACHAMA WA YANGA LEO

Kiungo wa Yanga, Haruna Niyonzima atazungumza na wanachama na mashabiki wa Yanga jijini Dar es Salaam, leo. Niyonzima anatarajia kufanya hivyo katika mkutano wa waandishi wa habari uliopangwa kufanyika jijini Dar. Mpashaji mmoja amesema huenda Niyonzima akafanya mkutano huo makao makuu ya klabu ya Yanga. "Sina...

Jan 16, 2016

LEICESTER CITY YABANWA MBAVU NA ASTON VILLA

Leicester City imelazimishwa sare ya goli 1-1 ugenini dhidi ya Aston villa katika mchezo wa ligi kuu nchini England. Goli la Leicester City limefungwa na Okazaki katika dk ya 28 na goli la kusawazisha kwa upande wa Aston Villa limefungwa na Gestede dk ya 75. Kwa matokeo hayo  Leicester City inapanda...

AZAM YALAZIMISHWA SARE NA AFRICAN SPORTS

AZAM FC imelazimishwa sare ya kufungana bao 1-1 na African Sports ya Tanga katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara usiku huu Uwanja wa Azam Complex, Chamazi, Dar es Salaam. Sare hiyo inaiongezea Azam FC pointi moja na kufikisha 36 baada ya mechi 14, ikiwazidi pointi tatu mabingwa watetezi,...

MAN CITY YAUA CHELSEA HOII

Timu ya Manchester City imeibuka na ushindi wa goli 4-0 dhidi ya Crystal palace katika mchezo wa ligi kuu nchini England magoli ya City yamefungwa na Delph  dk 22 Aguero 41,68 Na goli LA mwisho lilifungwa Na David Silva dk 84 Matokeo mengine. Chelsea imetoka sare ya goli 3-3 dhidi ya Everton magoli...

TOTTENHAM YAITANDIKA SUNDERLAND BILA HURUMA

Kiungo wa Tottenham Hotspur, Christian Eriksen akiteleza chini Uwanja wa White Hart Lane kushangilia baada ya kuifungia mabao mawili timu yake katika ushindi wa 4-1 dhidi ya Sunderland leo. Mabao mengine ya Spurs yamefungwa na Mousa Dembele na Harry Kane kwa penalti, wakati la Sunderland limefungwa...

MATOKEO YOTE YA LIGI KUU TANZANIA BARA LEO YAPO HAPA

Ligi kuu ya Vodacom Tanzania bara imeendelea hii Leo katika viwanja tofauti tofauti. Jijini Dar es salaam Simba imeibuka na ushindi wa goli 1-0 dhidi ya Mtibwa sugar goli la timu ya Simba limefungwa na Hamisi kiiza mwanzoni mwa kipindi cha kwanza. Matokeo mengine. Coastal union 1-1 Maji Maji Stand united...

KINACHOFANYA SAMATTA ACHELEWE KWENDA ULAYA NI HIKI HAPA

Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM RAIS wa klabu ya Nantes ya Ufaransa, Waldemar Kita amesikitishwa mno na kitendo cha mshambuliaji wa kimataifa wa Tanzania, Mbwan Ally Samatta kukataa ofa ya kujiunga na klabu yake, lakini hajakata tamaa kwa sababu kijana huyo bado ni mali ya TP Mazembe. “Tungependa kumpata. Inavyoonekana...

ALI KIBA: SIO KWELI KUWA DIAMOND PLATNUMZ NDIE ANAEPITISHA VIDEO ZA BONGO KWENYE KITUO CHA MTV

Siku kama mbili zilizopita kulikuwa na habari iliyokuwakuwa maarufu sana, ni kuhusu kauli ya Diamond Platnumz akisema kuwa video yoyote ya Bongo haipigwi katika Kituo cha MTV bila yeye kushirikishwa, leo Ali Kiba kaamua kumjibu kwa kusema kuwa hana uhakika na kauli hiyo ya Diamond Platnumz. Katika kipindi...

ALICHOSEMA KOCHA MATOLA BAADA YA SIMBA KUMFUKUZA KOCHA

Matola, amesema Simba imechelewa kumtimua Kocha Dylan Kerr kwani alianza muda mrefu kutibua mambo. Hivi karibuni Matola aliamua kuondoka mwenyewe Simba na kujiunga na Geita Gold Sports ya Ligi Daraja la Kwanza kwa kile kilichoelezwa kuwa ni kutoelewana kwake na Kerr ambaye ni raia wa Uingereza. Simba...

AZAM FC NA AFRICAN SPORTS NI USIKU LEO CHAMAZI

MECHI ya Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara kati ya vinara, Azam FC na African Sports ya Tanga itachezwa kuanzia Saa 1:00 usiku Uwanja wa Azam Complex, Chamazi, Dar es Salaam. Leo kutakuwa na jumla ya mechi tatu za Ligi Kuu, Dar es Salaam, moja Uwanja wa Karume kati ya JKT Ruvu na JKT Mgambo na nyingine...

Jan 15, 2016

ALICHOSEMA KOCHA MPYA SIMBA NA ALICHOSEMA KOCHA MPYA COASTAL UNION

MAMBO mengine ukiyasikia unaweza kucheka sana, yaani ni kama muvi fulani ya kichekesho. Jackson Mayanja alikuwa Kocha wa Coastal Union mpaka juzi kati, lakini sasa ametua Simba. Coastal wakamchukua Ally Jangalu kuziba nafasi yake. Mayanja kwenye mazoezi yake ya kwanza kabisa alipowaangalia wachezaji wa...

FARIDI MUSSA APATA DILI CELTIC

WINGA wa kimataifa wa Tanzania, Farid Malik Mussa anaweza kwenda Celtic FC ya Ligi Kuu ya Scotland au Athletic Bilbao ya Ligi Kuu ya Hispania kwa majaribio. Hiyo inafuatia wakala mmoja mwenye mahusiano mazuri na klabu hizo kuwasiliana na Azam FC, inayommiliki Farid akisema Celtic na Bilbao ndizo klabu...

Jan 13, 2016

SAMATTA KUTIKISA ZANZIBAR LEO

MWANASOKA Bora Anayecheza Afrika, Mbwana Ally Samatta kesho atatambulishwa kwa Wazanzibari wakati wa mchezo wa fainali ya Kombe la Mapinduzi, kati ya Mtibwa Sugar na URA ya Uganda. Katibu wa Kamati ya Kombe la Mapinduzi, Mwinyimvua Khamis ameiambia BIN ZUBEIRY SPORTS – ONLINE leo kwamba Samatta atawasili...