SAMATTA ATUPIA GENK IKIUA 2-1

Feb 21, 2016

BAADA YA MECHI ZA JANA HUU NDIO MSIMAMO VPL

Na Haji Balou Baada ya Simba kufungwa na Yanga goli 2-0 na Azam fc kuifunga Mbeya City goli 3-0 huu ndio msimamo wa ligi kuu ya Vodacom Tanzania bara. Wakati Simba ikiwa imemzidi Azam michezo miwili Yanga nae amemzidi Azam mchezo mmoja lakini Yanga nao wamezidiwa mchezo mmoja na Simba ac. ...

HII NDIO SABABU YA AZAM KUVAA JEZI MBILI TOFAUTI KATIKA MCHEZO WA JANA

Na Haji Balou Timu ya Azam fc Jana imeibuka na ushindi wa goli 3-0 dhidi ya wenyeji wao Mbeya City katika mchezo wa ligi kuu ya Vodacom. Sehem kubwa ya mchezo huo ilitawaliwa na mvua hususa ni kipindi cha kwanza kulikuwa na mvua kubwa ambayo ilisababisha Azam fc kubadili jezi katika kipindi cha pili...

Feb 20, 2016

ALICHOSEMA TAMBWE BAADA YA YANGA KUPATA USHINDI DHIDI YA SIMBA

Mshambuliaji wa Yanga, Amissi Tambwe ambaye amefunga bao la pili katika mechi ya leo ambapo Yanga imeilaza Simba kwa mabao 2-0. Beki Abdi Banda alilambwa kadi ya njano ya pili katika dakika ya 25 na kuzaa nyekundu baada ya kumwangusha Donald Ngoma. Tambwe alifunga bao katika dakika ya 72 baada ya beki...

AZAM YAIONESHA ADABU MBEYA CITY KWAO

Mchezo kati ya Mbeya City na Azam fc umemalizika na wenyeji wamekubali kichapo cha goli 3-0 kutoka kwa Azam fc magoli ya Azam yalifungwa na Kipre Tchetche dakika 41, John Bocco dakika ya 63 na Faridi Mussa dakika ya 84. ...

MAPUMZIKO KATIKA UWANJA WA SOKOINE MBEYA NA HAYA NDIO MATOKEO

Dakika 45 za kipindi cha kwanza katika uwanja wa sokoine mjini Mbeya  zimemalizika na timu ya Azam inaongoza goli moja dhidi ya Mbeya city goli lililofungwa na Kipre tchetche Dakika ya 41. ...

Feb 18, 2016

MAN UNITED YAPIGWA UGENINI

Man United imetandikwa mabao 2-1 katika mechi ya Kombe la Europa Cup dhidi ya FC Midtjylland ya nchini Denmark. Pamoja na kwamba ilikuwa ugenini, Man United ilikuwa ikipewa nafasi ya kushinda dhidi ya timu hiyo ndogo. Lakini imefungwa mabao hayo 2-1 pamoja na mshambuliaji wake Memphis Depay kufunga...

Feb 7, 2016

KOCHA JULIO AMETOA SABABU INAYOFANYA CHUJI AKAE BENCHI MWADUI

Kocha wa Mwadui FC, Jamhuri Kihwelo ‘Julio’ hamtumii Athuman Idd ‘Chuji’ katika kikosi chake, ishu ikiwa ni moja tu, kwamba kiungo huyo anatakiwa ajitume ili apate nafasi ‘first eleven’. Tangu Desemba mwaka jana, Chuji amekosa mechi za Mwadui na kuzua maswali mengi miongoni mwa wadau wa soka lakini...

Feb 6, 2016

STORY 3 KUBWA KUTOKA MAGAZETI YA ULAYA

3. Leta Pogba katika Real Madrid Meneja mpya wa Real Madrid Zinedine Zidane amemhimiza rais wa klabu Florentino Perez kutumia kitita kikubwa cha pesa kumleta kiungo wa Juventus Paul Pogba katika Santiago Bernabeu. (Source: AS) 2. Sturridge anataka kuiondoka Liverpool Mshambuliaji wa Liverpool Daniel...

HII NDIO RATIBA YA LIGI KUU BARA LEO NA KESHO

Ligi Kuu ya Vodacoma Tanzania bara raundi ya 18 inatarajiwa kuendelea wikiendi hii kwa michezo nane kuchezwa katika viwanjabmbalimbali nchini, Jumamosi ukichezwa mchezo Mmoja na Jumapili kuchezwa kwa michezo saba. Jumamosi ligi ya kuu ya Vodacom itaendelea kwa mchezo mmoja tu, ambapo katika uwanja wa...

Feb 2, 2016

CHANONGO UBWA MAMBO SAFI TP MAZEMBE

Na Haji BalouKLABU ya TP Mazembe ya DRC imeingia katika mazungumzo ya kuwanunua wachezaji wawili wa Stand United, beki Abuu Ubwa na kiungo Haroun Chanongo baada ya kufanya vizuri katika majaribio yao mapema Januari. Wawili hao walisafiri hadi Lubumbashi, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC), mapema...