
Picha ya nahodha wa zamani wa Simba, Hassan Isihaka akiwa amenyoa rasta zake imekuwa gumzo zaidi mitandaoni kuanzia
jana.
Picha hiyo kwa mara ya kwanza
ilitundikwa na SALEHJEMBE, lakini
ikasambaa kwenye mitandao mingi na kuwa gumzo.
Isihaka alikuwa akipasha na kikosi cha Simba, awali alizoeleka kuonekana...