SAMATTA ATUPIA GENK IKIUA 2-1

Apr 19, 2016

TFF YAMZURUMU MAGOLI KIUNGO WA MBEYA CITY

Na Haji balou KIUNGO chipukizi wa Mbeya City FC, Rafael Daudi Alpha  amesema anashangaa hatajwi katikaorodha ya wafunga wa mabao mengi kwenye Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara wakati hadi sasa ana mabao sita. Amesema anashangaa wakati wote orodha ya wafungaji wa mabao mengi ...

Apr 18, 2016

HII NDIO REKODI MPYA YA LIONEL MESSI

Na Haji balou Superstar wa Argentina Lionel Messi usiku wa jana amefikisha magoli 500 katika maisha yake ya soka aliyoifungia klabu yake na timu yake ya taifa baada ya kufunga bao moja wakati Barca ikilala 2-1 nyumbani mbele ya Valencia. Nyota huyo mwenye miaka 28 alimaliza ukame ...

Apr 17, 2016

SIMBA CHALI KESSY AONESHWA NYEKUNDU

Na Haji balou Leo April 17 uwanja wa Taifa Dar es Salaam Simba wamekubali kipigo cha goli 1-0 kutoka kwa Toto Africans na kuendeleza rekodi yao ya kusumbuliwa na Toto kila mara wanapokutana. Simba kabla ...

MSIMAMO WA LIGI KUU TANZANIA BARA

Baada ya Jana Yanga kuibuka Na ushindi wa 1-0 dhidi ya Mtibwa sugar huu ndio msimamo wa ligi kuu ya Vpl. ...

PLUIJIM ATOA LAWAMA KWA WAANDISHI WA HABARI

  Na Haji balou Kocha mkuu wa Yanga amelalamika juu ya waandishi ambao wamekuwa wakiandika vitu ambavyo yeye hajazungumza kwasababu vinamletea matatizo na waajiri wake. Hans amesema hivyo baada ya gazeti moja kutoa habari ambayo inasababisha mazingira magumu, anasema yeye ni mwajiriwa hivyo anatarati...

SAMATTA ATUPIA GENK IKIUA 2-1UGENINI

Na Haji balou NYOTA ya Nahodha wa Tanzania, Mbwana Samatta imeendelea kung’ara Ulaya baada ya leo kuifungia tena klabu yake, KRC Genk katika ushindi wa 2-1 ugenini dhidi ya wenyeji SV Zulte-Waregem. Katika mchezo huo wa Ligi Kuu ya Ubelgiji uliofanyika Uwanja wa Regenboogstadion mjini Waregem, Samatta...

Apr 12, 2016

HII NDIO DROO YA NUSU FAINAL KOMBE LA FA

Na Haji balou YANGA SC itamenyana na Coastal Union katika Nusu Fainali ya michuano ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), maarufu kama Kombe la Azam Sports Federations Cup 2016. Mchezo huo utafanyika Uwanja wa Mkwakwani mjini Tanga Aprili 24, mwaka huu, siku ambayo Azam FC itamenyana na Mwadui FC Uwanja...

AZAM YAMZUIA FARID NA HIMID MAO KWENDA ULAYA SABABU IPO HAPA

Na Haji balou UONGOZI wa Azam FC umezuia safari ya kiungo wake Farid Mussa  kwenda Ubelgiji kwa majaribio ya kucheza soka ya kulipwa hadi amalize mchezo wa marudiano wa hatua ya 16 Bora Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya Esperance ya Tunisia Aprili 19. Awali, makubaliano kati ya wakala wa Farid...

HUYU NDIYE MWAMUZI ATAKAYE CHEZESHA MECHI YA ATLET VS BARCA REKODI YAKE INAIBEBA ATLETI

Na Haji balou Mwamuzi wa mechi kali ya Jumatano yenye ushindani mkubwa sana Ligi ya Mabingwa Uefa, ameteuliwa, ni yule aliyechezesha fainali Kombe la Dunia 2014 Mwamuzi wa Kiitaliano Nicola Rizzoli amepangwa na UEFA kuchezesha mechi ya Ligi ya Mabingwa baina ya Atlético Madrid na Barcelona katika uwanja...

Apr 11, 2016

FARID KUWAKOSA ESPERANCE MECHI YA MARUDIO ANAENDA ULAYA KUTAFUTA ULAJI

Na Haji balou KLABU ya Azam FC itamkosa kiungo Farid Mussa Malik (pichani kushoto) katika wa mchezo wa marudiano hatua ya 16 Bora Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya Esperance nchini  Tunis wiki ijayo. Baada ya kufunga bao la kusawazisha katika ushindi wa 2-1 kwenye mchezo wa kwanza jana Uwanja...

MANARA APATA AJALI

Na Haji balou Mkuu wa Kitengo cha Habari na Mawasiliano cha Simba, Haji Manara amepata ajali mbaya. Manara amepata ajali baada ya kuchomoka tokea ndani ya Bajaj na kuanguka barabarani. Kuanguka huko kumesababisha Manara kupata majeraha sehemu za mkononi na usoni hukua kisema amenusurika kifo kutokana...

Apr 10, 2016

MKENYA APIGA MBILI LIVERPOOL AKIUA 4-1

Na Haji balou Mshambuliaji Divock Origi akikimbia kushangilia baada ya kuifungia Liverpool bao la tatu katika ushindi wa 4-1 dhidi ya Stoke City kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England jioni ya leo Uwanja wa Anfield. Origi alifunga mabao mawili, wakati mengine yamefungwa na Alberto Moreno na Daniel Sturridge...

VARDY APIGA MBILI LEICSTER YAZADI KUKAA KILELENI

Na Haji balou Leicester imeitungua Sunderland kwa mabao 2-0, yote mawili yakiwa yamefungwa na mshambuliaji wake hatari Jamie Vardy. Vardy amefikisha mabao 21 akiwa anakimbilia ufungaji bora, huku Leicester iliyobakiza mechi tano tu za Ligi Kuu England ikiwa imeanza kusikia harufu ya ubingwa. Ushindi...

BARCA YAPIGWA YAWEKA UBINGWA REHANI

Mikel Oiarzabal aliifungia Sociedad bao pekee dakika ya 5 kipindi cha kwanza lililowapa pointi tatu huku Barca ikishindwa kusawazisha goli hilo hadi dakika 90 zinamalizika. Kichapo hicho kimewafanya Barca kusogelewa na Atletico Madrid kwenye mbio za ubingwa ambapo sasa Barcelona inaididi Atletico kwa...

Apr 7, 2016

PIGO JIPYA AZAM FC

Na Haji balou HABARI mbaya Azam FC, tena katika wakati mbaya. Beki anayeweza kucheza kama kiungo pia, Shomary Kapombe (pichani kulia) hatacheza mechi zote mbili za Kombe la Shirikisho la Soka Afrika (CAF) dhidi ya Esperance ya Tunisia. Kapombe aliyekosa mechi mbili mfululizo za Ligi Kuu timu hiyo ikitoa sare...

Apr 5, 2016

GOTZE KUHAMIA LIVERPOOL

Na Haji balou Timu ya Liverpool ipo mbioni kuinasa saini ya kiungo wa Bayern Munich Mario Gotze Na hii ni kwamujibu wa Mwanahabari wa kicker Jorg Jakob. Gotze mwenye umri wa miaka 23  amejitahidi kupata namba mara kwa mara katika  kikosi cha kwanza chini ya Pep Guardiola katika timu yake...

MATOLA APONDA MAAMUZI YA TFF

Na Haji balou Kocha wa timu ya Geita Gold Mine, Seleman Matola, ameponda maamuzi ya Kamati ya nidhamu ya Shirikisho la soka Tanzania TFF, kwa kutoa maamuzi ya kukurupuka ya kuishusha daraja timu hiyo bila kuzingatia haki. Matola ameiambia Goal, maamuzi hayo yamemsikitisha sana na haamini kama Kamati...

Apr 4, 2016

JUMA KASEJA AWEKA HADHRANI MAPACHA WAKE

Watoto mapacha wa kipa mkongwe nchini, Juma Kaseja jana walifikisha siku 40 na rasmi kuanza kuonekana hadharani. Katika dua iliyosomwa nyumbani kwa Kaseja Mbezi kwa Msuguri jijini Dar es Salaam, wadau mbalimbali waliwaona "live" watoto hao kwa mara ya kwanza.Mkewe Kaseja, Nasra Nassor...