SAMATTA ATUPIA GENK IKIUA 2-1

May 29, 2016

BODABODA FC YATINGA NUSU FAINAL

Na Haji balou Leo mei 29 kulikuwa na mchezo wa robo fainali mchezo ulipigwa ktk uwanja wa Shule ya msingi  muungano kati ya timu  Likongowele fc vs Bodaboda fc. Mpaka mchezo unamalizika Likongowele fc o-2 Bodaboda Magoli yote ya Boda Boda fc  yalifungwa na faraja katika dk 25 na dk...

May 28, 2016

NGASSA AITAJA TIMU INAYO MWITAJI VPL

Na Haji balou Pamoja na uongozi wa Free State Stars ya Afrika Kusini kumzuia kiungo wake mshambuliaji, Mrisho Ngassa kumtoa kwa mkopo, nyota huyo amewatoa hofu mashabiki wa Yanga na kuwaambia siku si nyingi anarejea kwenye klabu hiyo. Ngassa ameitoa kauli hiyo muda mfupi baada ya kuwasili nchini kisha...

NGASSA AITAJA TIMU INAYO MWITAJI VPL

Na Haji balou Pamoja na uongozi wa Free State Stars ya Afrika Kusini kumzuia kiungo wake mshambuliaji, Mrisho Ngassa kumtoa kwa mkopo, nyota huyo amewatoa hofu mashabiki wa Yanga na kuwaambia siku si nyingi anarejea kwenye klabu hiyo. Ngassa ameitoa kauli hiyo muda mfupi baada ya kuwasili nchini kisha kutazama mechi ya fainali ya Kombe la FA kati ya Yanga na Azam FC kwenye Uwanja wa Taifa, Dar ambapo...

HABARI NJEMA KWA WAKAZI WA TANGA BAADA YA TIMU ZAO TATU KUSHUKA DARAJA

Na Haji balou KAIMU Katibu Mkuu wa Coastal Union, Salim Bawazir amesema timu hiyo sasa itakuwa chini ya usimamizi wa Nassor Binslum pamoja na uongozi wa Chama cha Soka Mkoa wa Tanga (TRFA) kwa ajili ya kuiwezesha kushiriki vyema Ligi Daraja la Kwanza (FDL) ili irejee Ligi Kuu Bara. Akizungumza na Mwanaspoti...

May 27, 2016

WACHEZAJI AZAM FC WAPEWA MAPUMZIKO

WACHEZAJI wa Klabu Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati Azam FC, wamepewa mapumziko ya wiki tano baada ya kumaliza mechi ya mwisho ya msimu wa 2015/16 dhidi ya Yanga kwenye mchezo wa fainali ya Kombe la Shirikisho (Azam Sports Federation Cup) juzi jioni. Azam FC inayodhaminiwa na Benki ya NMB ambayo ni...

HAYA NDIO MASHINDANO MAPYA YANAYO DHAMINIWA NA AZAM TV

KAMPUNI ya Azam Media Limited leo imeingia Mkataba na Shirikisho la Mpira wa miguu Tanzania (TFF) wenye thamani ya Sh.Bilioni 2 kurusha matangazo ya moja kwa moja ya Ligi Kuu ya Wanawake Tanzania na Ligi Kuu ya Vijana wa umri chini ya miaka 20. Zoezi hilo limefanyika Ofisi za makao Makuu ya Azam Media...

MUSSA MGOSI ATAJA VITU VIWILI AMBAVYO HAWEZI KUVISAHAU MSIMU HUU

Na Haji balou Mshambuliaji mkongwe wa Simba Musa Hassan Mgosi kupitia Simba news amesema kuna vitu viwili ambavyo hatavisahau baada ya msimu huu wa VPL kumalizika huku klabu yake ikiangukia nafasi ya tatu kwenye msimamo wa ligi. “Kuna mambo mengi ambayo yametokea kwenye msimu wa 2015-16 lakini kwa...

May 26, 2016

ROBO FAINAL VIJANA CUP YAANZA RASMI LEO

Na Haji balou Hatua ya robo final ya ligi ya mbuzi vijana cup imeanza Leo kwa mchezo mmoja kupigwa  katika uwanja wa Shule ya msingi muungano. Mchezo huo ulikuwa ni kati ya wakaanga sumu fc  dhidi ya kigamboni fc Mchezo ulio malizika kwa wakaanga sumu kuibuka Na ushindi wa goli 2-1. ...

May 24, 2016

LIGI YA MBUZI VIJANA CUP YAMALIZIKA HATUA YA MAKUNDI KWA SIDO FC KUIBUKA NA USHINDI

Na Haji balou Ligi ya Mbuzi Vijana cup imeendelea tena hii Leo kwa mchezo mmoja kupigwa katika  uwanja wa shule ya msingi muungano katika kuhitimisha hatua ya makundi kati ya Sido fc dhidi ya Vijuso fc mchezo ambao umemalizika kwa Sido kuibuka Na goli 1-0. Goli pekee la Sido fc lilifungwa Na Haikosi...

YANGA KUPAMBANA NA TP MAZEMBE KOMBE LA SHIRIKISHO

Na Haji balou YANGA SC imepangwa kundi la A katika Kombe la Shirikisho Afrika pamoja na mabingw awa zamani barani, TP Mazembe ya DRC, MO Bejaia ya Algeria na Medeama ya Ghana. Kundi B linaundwa na timu za Kaskazini mwa Afrika tupu ambazo ni Etoile du Sahel ya Tunisia ambao ni  mabingwa watetezi,...

May 23, 2016

KIGAMBONI FC YAENDELEA KUTOA DOZII

Na Haji balou Mchezo wa Ligi ya Mbuzi Vijana Cup imeendelea tena hii Leo Kwa Mchezo kati ya Kigamboni fc dhidi  Mnalani Mchezo ambao umemalizika Kwa Kigamboni kuibuka Na Ushindi wa goli 2-1. Ligi hiyo inaendelea tena hapo kesho Kwa Mchezo mmoja kupigwa kati ya Vijuso dhidi ya Sido mchezo utakao...

May 22, 2016

WAKAANGA SUMU WAPEWA POINT BILA KUTOKA JASHO

NA Haji balou Ligi ya mbuzi vijana cup imeendelea tena leo  may 22 kwa mchezo mmoja kati ya kati ya Black star dhidi ya Wakaanga Sumu Lakini timu ya Black star haikujitokeza uwanjani na haijatoa taarifa yeyote kwa uongozi wa Ligi . Uongozi wa ligi unalazimika kutoa pointi tatu kwa timu ya Wakaanga...

May 19, 2016

NANGANDO WAN'GAA LIGI YA MBUZI VIJANA CUP

Na Haji Balou Ligi ya mbuzi vijana cup Leo iliendelea ktk uwanja wa shule ya msingi Muungano kati ya Likongowele fc dhidi ya Nangando fc Mpaka dakika 90 zinamalizika Nangando fc imeibuka Na ushindi wa goli 4-2. Magoli ya Nangando yalifungwa Dakika ya 5 na Shehani Chikanga Dakika ya 10 na Ligubi Ligubi Dakika...

May 18, 2016

SIDO FC YATOKA SARE DHIDI YA WAKAANGA SUMU KUBOTA NA ZFC ZAFUNGIWA

Na Haji balou Mchezo kati ya Sido fc dhidi ya Wakaanga sumu umemalizika katika uwanja wa shule ya msingi muungano kwa sare ya goli 2-2. Katika kipindi cha kwanza magoli ya Sido fc walifungwa namo dakika ya 7 na 15 yote yakipachikwa na Haikosi Mpwate na goli la Wakaanga Sumu likufungwa na  Bocho...

ORODHA YA TOP 10 WAFUNGAJI BORA ULAYA MESSI CHALIII

Na Haji balou Luis Suarez (29) kwa mara ya kwanza alipata tuzo hiyo mwaka 2014 baada ya kufungana magoli na Cristiano Ronaldo wakati huo akiwa Liverpool akifunga magoli 31 na kuwa mfungaji bora pia wa EPL. Suarez amekuwa ni mchezaji wa kwanza La Liga mbali ya Messi na Ronaldo kushinda tuzo ya ufungaji...

CANNAVARO AMEFUNGUKA KUHUSU YEYE KUCHEZA TAIFA STARS KAMA ATAITWA NA MKWASA

Na Haji balou Baada ya headlines za muda mrefu kuhusu aliyekuwa nahodha wa timu ya taifa ya Tanzania Nadir Haroub Cannavaro kutangaza kustaafu kuchezea timu ya taifa ya Tanzania kutokana na kuvuliwa unahodha bila kupewa taarifa rasmi, tuliwahi kusikia kocha wa Taifa Stars Boniface Mkwasa akisema kuwa...

May 17, 2016

MASHABIKI WAANZISHA FUJO ZFC IKILALA 3-0

Na Haji balou Mashindano ya kombe la mbuzi vijana yameendelea tena hii Leo kwa mchezo mmoja uliopigwa katika uwanja wa shule ya msingi muungano baina ya Zfc dhidi ya Kigamboni fc mchezo ambao hauku malizika kwa dakika 90. Mpaka mchezo unavunjika Kigamboni fc ilikuwa inaongoza goli 3-0 magoli yaliyo...

May 16, 2016

VIJUSO FC YAICHAPA KUBOTA MECHI YAVUNJIKA

Na Haji balou Mashindano  ya ligi ya Mbuzi vijana Cup yameendelea tena hii leo kwa mchezo mmoja kupigwa katika uwanja wa Shule ya Msingi Muungano kati ya Vijuso fc dhidi ya Kubota fc.  Mchezo huo ambao haukumalizika baada ya kutokea fujo katika dakika ya 84, mpaka mchezo huo unavunjika...

May 15, 2016

KOMBAINI FC YAICHAPA LIKONGOWELE FC

Na Haji balou Ligi ya Mbuzi Vijana Cup wilaya ya Liwale imeendelea tena hii leo  kwa mchezo mmoja kupigwa  katika uwanja wa shule ya msingi Muungano kwa Kombaini fc kuibuka na ushidi  wa  3-1 dhidi  ya  Likongowele fc. Magoli ya Kombaini  fc yamefungwa...

May 14, 2016

BODABODA FC YAICHAPA BLACK STARS

Na Haji balou Timu ya Boda boda fc imeibuka na ushindi wa goli 3-1 dhidi ya Black stars katika mchezo wa ligi ya Mbuzi ya Vijana Cup mchezo uliopigwa katika uwanja wa shule ya  Msingi Muungano. Magoli ya Boda boda fc yamefungwa dakika ya 27 kupitia kwa kiungo wake mshambuliaji Abuu pia goli...

May 12, 2016

WAKAANGA SUMU WAICHAPA KUBOTA FC

Na Haji balou Mpambano kati ya Kubota fc Na Wakaanga sumu fc  umemalizikaa kwa Wakaanga Sumu fc kuibuka Na ushindi wa goli 1- 0 katika mchezo uliopigwa katika uwanja wa Shule ya msingi Muungano. Goli pekee la Wakaanga Sumu fc limefungwa Na Ema Ema katika dakika ya 60. ...

May 11, 2016

KIGAMBONI YA NG'AA VIJANA CUP

Na Haji balou Timu ya Kigamboni fc yaendelea kung'aa baada ya kuibuka ushindi wa goli 1 bila dhidi ya Kombaini katika mchezo uliopigwa katika uwanja wa shule ya Msingi muungano. Goli pekee la kigamboni fc lililoipa ushindi lilifungwa Na Ramadhani mtunage Na katika dakika ya 25 kipindi cha kwanza Na...

May 10, 2016

SIDO FC YAGAWA DOZI KWA BLACK STAR

Na Haji balou Leo may 10 ligi ya Mbuzi vijana  Cup  imeendelea tena kwa mchezo mmoja kupigwa katika uwanja wa shule ya  msingi muungano mechi kati ya Sido fc dhidi ya Black star. Mpaka kipindi cha kwanza kinamalizika hakuna timu ambayo ilifanikiwa kuona lango la mwenzake lakii kipindi...

May 9, 2016

ZFC YAICHAPA NANGANDO FC

Na Haji balou Ligi ya mbuzi Vijana Cup imeendelea tena hii leo katika mchezo mmoja uliopigwa katika uwanja wa shule ya Msingi muungano kati ya Nangando fc dhidi ya Zfc na   umemalizika kwa Zfc kuibuka na ushindi wa goli 3-2. Katika mchezo huo uliokuwa mkali na wakusisimua Nangando fc  ndio...

May 8, 2016

BODABODA FC YAICHAPA VIJUSO FC BILA HURUMA

Timu ya Bodaboda fc imeibuka na ushindi wa goli 4-1 dhidi ya Vijuso fc katika mchezo wa mashindano ya ligi ya mbuzi vijana Cup katika mchezo uliopigwa uwanja wa Shule ya Msingi Muungano. Magoli ya Bodaboda fc yalifungwa na Saidi milasi dakika ya 40, Given ambaye alifunga magoli mawili katika dakika...

May 7, 2016

LIKONGOWELE YAICHAPA MNALANI 4-3

Timu ya likongowele fc imeibuka na ushindi wa goli 4-3 dhidi ya Mnalani fc katika mchezo wa ligi ya Mbuzi Vijana Cup uliopigwa katika uwanja Shule ya Msingi Muungano. Magoli  ya timu ya Likongowele yamefungwa na Twaha Tido katika  dakika ya 39,SelemaniMpoto katika dakika ya 47 na 60 huku...

TAARIFA MPYA KUHUSU FARIDI MUSSA KUCHEZA ULAYA

Na Haji balou Winger wa Azam na timu ya taifa ya Tanzania Farid Musa amefaulu majaribio yake kwenye klabu ya Deportivo Tenerife ya Hispania ambako tayari pia amefaulu vipimo vya afya na kinachosubiriwa ni makubaliano kati ya klabu hizo mbili ili kukamilisha deal. Lakini nyuma ya pazia, kuna story kwamba...

May 2, 2016

TIMU YA LIKONGOWELE,SIDO FC ZATAMBA LIGI YA MBUZI VIJANA CUP WILAYANI LIWALE

                                                     SIDO FC Vs BODABODA                    ...