SAMATTA ATUPIA GENK IKIUA 2-1

Jun 30, 2016

GUARDIOLA ANAMTAKA STAA HUYU WA BARCELONA

Na Haji balou Kocha mpya wa Manchester City Pep Guardiola anampango wa kumsajili kipa namba moja wa Timu ya Taifa ya Chile Na Klabu ya Fc Barcelona ya nchini Hispania Claudio Bravo. Guardiola anataka kumsajili Bravo ambaye ameisaidia Timu yake ya  Taifa kushinda kombe la Copa America lakini pia...

ATLETICO MADRID KUIBOMOA LIVERPOOL KWA STAA HUYU HAPA

Na Haji balou Gazeti moja la nchini Hispania limeripoti kuwa Timu ya Atletico Madrid imeanza mazungumzo Na klabu ya Liverpool kwa ajili ya kumchukua mshambuliaji wa Timu hiyo Christian Benteke. Benteke raia wa Ubelgiji amekuwa Na wakati mgumu katika kikosi cha Liverpool mbele Daniel Sturridge Na Divock...

Jun 27, 2016

HAYA NDIO MAAMUZI MAGUMU ALIYOYAFANYA LIONEL MESSI

Na Haji balou MAUMIVU ya moyo yamemshinikiza Mwanasoka Bora wa Dunia, Lionel Messi kustaafu kuichezea timu yake ya taifa ya Argentina baada ya jana kufungwa katika fainali ya tatu mfululizo ya Copa America ndani ya miaka mitatu. Messi si mgonjwa wa moyo, bali ameumizwa n a kitendo cha kukosa penalti...

Jun 25, 2016

NYOTA WA UBELGIJI AKARIBIA KUSAINI ARSENAL

Na Haji balou Baada ya kumkosa staa wa Leicester city Jamie vard kocha wa Arsenal Arsene Wenger ameamua kuamishia nguvu zake kwa staa wa Everton na Timu ya taifa Ubelgiji Romelu Lukaku. Mwandishi wa habari za michezo nchini Italy ameripoti kuwa Lukaku amekubali dili la kusaini Arsenal dili hili limekuja...

LIVERPOOL YAKARIBIA KUMSAJILI STAA HUYU HAPA

Na Haji balou Timu ya Liverpool ipo tayari kutoa Euro million 30 kwa Timu ya Southampton kwaajili ya kuinasa saini ya Mshambuliaji wa Timu hiyo Sadio Mane Raia wa Senegal. Kocha wa Liverpool Juggen kloop amekuwa akimfuatilia kwa karibu Mshambuliaji huyo tangu alipo wafunga goli mbili katika mchezo...

Jun 22, 2016

WALICHOSEMA REAL MADRID KUHUSU ALVARO MORATA

Na Haji balou Timu ya Real Madrid imethibitisha kuwa nampango wa kumsajili Alvaro Morata kutoka Juventus msimu huu. Morata alijiunga na Mabingwa wa Italy Juventus mwaka 2014 akitokea Real Madrid kwa mkataba wa miaka minne (4) uliogharimu Euro million 20 lakini vigogo hao wa Spain wapo tayari...

YANGA WAMEFIKIA HAPA KUHUSU HASSAN KESSY KUCHEZA MICHUANO YA CAF

Na Haji Balou YANGA wamewaandikia barua Simba SC kuwajulisha kumsajili beki Hassan Ramadhan Kessy na kuuliza kama kuna pingamizi lolote kutoka kwao, na wakati huo huo nakala zimepelekwa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) na Shirikisho la Soka Afrika (CAF). Yanga ilishindwa kumtumia Kessy Jumapili katika mchezo...

MAYANJA AREJEA DAR KUANZA MAANDALIZI YA MSIMU MPYA

Na Haji Balou KOCHA wa Simba, Mganda Jackson Mayanja anatarajiwa kuwasili Juni 25 au Juni 26 na siku moja baadaye ataanza programu ya mazoezi ya kujiandaa na msimu mpya. Hayo yamesemwa na Mwenyekiti wa Kamati ya Usajili ya Simba, Zacharia Hans Poppe alipozungumza na mwandishi wetu  leo kuhusu...

MZAMBIA WA YANGA APEWA JEZI YA COUTINHO

Na Haji balou SIKU chache baada ya kusaini mkataba wa miaka miwili ya kuichezea Yanga, uongozi wa Yanga umemkabidhi jezi namba saba mshambuliaji wake Mzambia, Obrey Chirwa. Chirwa alitua nchini wiki iliyopita akitokea FC Platinum ya Zimbabwe aliyokuwa anaichezea pamoja na mshambuliaji tegemeo, Donald...

Jun 20, 2016

YANGA YAANZA VIBAYA KOMBE LA SHIRIKISHO

Na Haji balou YANGA SC imeanza vibaya mechi za Kundi A Kombe la Shirikisho Afrika, baada ya kufungwa bao 1-0 wenyeji Mouloudia Olympique Bejaia Uwanja wa Unite Maghrebine mjini Bejaia usiku huu. Goli pekee la MO Bejaia alikuwa ni beki Yassine Salhi aliyefunga bao hilo pekee dakika ya 20, akimalizia...

Jun 10, 2016

DALILI MPYA YA IBRAHIMOVIC KUHAMIA MAN UTD

Na Haji balou Staa wa zsmani wa klabu ya Paris Saint Germain ya Ufaransa Zlatan Ibrahimovich kuhusishwa kujiunga na klabu ya Man United zimechukua sura mpya, Zlatan anaripotiwa kukamilisha hatua ya nne ya kujiunga na klabu ya Manchester United . Dalili inayotajwa kuwa staa huyo yupo mbioni au katika...

Jun 4, 2016

IBRAHIMOVIC ATAJIUNGA NA TIMU HII ENGLAND

Na Haji balou Sky Sport wameripoti kuwa Zlatan Ibrahimovic  atakamilisha usajili wa kujiunga na Man United wakati wowote kuanzia sasa ila ni kabla ya michuano ya mataifa ya Ulaya kuanza, Sky Sport wanaeleza kuwa kocha wa Man United Jose Mourinho amepanga kusajili mshambuliaji mmoja katika dirisha...

Jun 3, 2016

ULIMWENGU HATARINI KUWAKOSA MISRI

Na Haji balou MSHAMBULIAJI wa TP Mazembe ya DRC, Thomas Emmanuel Ulimwengu 'Rambo' jana hakufanya mazoezi na timu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars kwa sababu ya maumivu ya mguu. Ulimwengu baada ya kuwasili na wachezaji wenzake Uwanja wa Taifa, alijaribu kufanya mazoezi ya awali ya kuamsha misuli kidogo,...