SAMATTA ATUPIA GENK IKIUA 2-1

Jan 31, 2015

MATOKEO YA LEO JANUARY 31 VPL

                                                Polisi Moro 1-0 Mbeya City                                         ...

LIVERPOOL YATAKATA EPL

Mshambuliaji Daniel Sturridge amerejea kwa kishindo kutoka kwenye maumivu yake baada ya kuifungia timu yake ya Liverpool bao la pili katika ushindi wa 2-0 dhidi ya West Ham United Uwanja wa Anfield jioni ya leo. Raheem steling aliifungia liverpool goli la kuongoza dakika 51 kabla ya Sturridge ailiye...

FULL TIME; STAMFORD BRIDGE

Chelsea imetoka sare ya goli 1-1 dhidi ya Man city katika uwanja wa njumbani Stamford bridge Chelsea ili  wali kuwa ya kwanza kupata goli kupitia kwa mshambuliaji wake Remmy dakika ya 41dakika chache baadae David silva  ...

CONGO DR YAFUZU NUSU FAINALI KOMBE LA MATAIFA AFRIKA

  DR Congo ilitoka nyuma na kuishinda Congo kwa mabao 4-2 na kufika katika semi fainali ya mechi za kombe la Afrika. Congo DR ilitoka nyuma 2-0 na kuishinda Congo katika mechi iliokuwa na kasi na mchezo mzuri kutoka pande zote mbili. Ferebory Dore alifunga krosi safi huku Thievy Bifouma...

DOMAYO AIBEBE AZAM FC CONGO

Timu ya Azam fc imetoka sare ya 2-2 dhidi ya Zesco united magoli ya Azam fc yamefungwa na kiungu Frank domayo habari kutoka katika mtandao wa Azam unasema kuwa mechi ilikuwa nzuri sana kipimo sahihi kwa mechi za CAF Champions league, Mwalimu ameona mapungufu, atayafanyia kazi. Mechi ya Awali TP Mazembe...

KUTOKA STAMFORD BRIDGE; GOOOOAALLLL

Chelsea 1 Man city 1 hivi sasa mapumzi...

STAMFORD BRIDGE; GOOOOOAAAALLLL

Chelsea 1 Man city 0 dakika ya ...

SIMBA NA JKT RUVU KATIKA PICHA UWANJA WA TAIFA LEO

SSERUNKUMA NA WACHEZAJI WENZAKE WA SIMBA, WAKISHANGILIA BAADA YA BAO LA KWANZA. MGANDA HUYO ALIFUNGA BAO LA PILI PIA NA SIMBA KUIBUKA NA USHINDI WA BAO 2-1. ...

NAHODHA RUVU JKT AKUBALI KIPIGO CHA SIMBA, ASEMA WATAJIPANGA

Nahodha wa Ruvu JKT, George Minja amesema kufungwa kwao mabao 2-1 dhidi ya Simba ilikuwa ni hali ya kimchezo. Minja amesema wana imani kuwa wana imani wataweza kucheza vizuri katika mechi zijazo na kurekebisha mambo. "Mechi ilikuwa ngumu na utaona tumeshindwa lakini ni hali...

GOOOAALLL

Liverpool 2 westham 0 dakika ya ...

KUTOKA SANTIAGO BERNABEU

Real madrid 3 real socieded 1 dakika ya ...

KUTOKA ANFIELD MECHI INAENDELEA

Liverpool 1 Westham 0 dakika ya ...

KUTOKA OLD TRAFORD HALF TIME

Man united 3  Leicester 0 mapumzi...

GOOOAAALLL

Real madrid 2 Real socieded 1 dakika ...

KUTOKA SANTIAGO BERNABEU MECHI INAENDELEA

Real madrid 1 Real socieded 1 dakika ya ...

MATOKEO KUTOKA OLD TRAFORD MECHI INAENDELEA

Man united 2 Leicester city 0 dakika ya ...

KUTOKA TAIFA; FULL TIME

Simba 2 Jkt ruvu 1 taarifa zaidi itafuata hivi pun...

PRISONS MAMBO MAGUMU NYUMBANI MPIRA UNAENDELEA

Prisons 1 Kagera sugar 1 mpira unaendel...

MBEYA CITY MAMBO MAGUMU MPIRA UNAENDELEA

Police moro 1 Mbeya city 0 uwanja jamhuri morogo...

GOOOAAAL; KUTOKA TAIFA

     Dan Sserunkuma anaipatia simba goli la pili dakika ya 48 kipindi cha pili Simba 2 Jkt ruvu 1...

HALIMBAYA SIMBA MECHI INAENDELEA

Simba 1 na Jkt  1 Goli la Simba limefungwa na Dani Sserunkuma na goal la Jkt limefungwa na George min...

PICHA JINSI BEN POL, SHILOLE, ROMA NA LINEX WALIVYO PAGAWISHA AZURRA BEACH

Jana ilikuwa FURAHIDAY kwa watu wa nguvu Dar Es Salaam, staa wetu ambaye kwa sasa yuko kila kona kwa ile hit ya Sophia, Ben Pol alitukutanisha pale Azurra Beach Club kwa pamoja tukaenjoy kwa bata la nguvu kama ishara ya kuuaga mwezi January ndani ya mwaka 2015. Ilipendeza, nyamachoma, vinywaji...

MAWAKALA WAGONGANA KUMPELEKA ULAYA SAID NDEMLA

Mawakala zaidi ya watano wamejitokeza kwa Klabu ya Simba na kuomba kumchukua kiungo wa klabu hiyo, Said Ndemla kwenda kufanya majaribio katika moja za timu za nje, hasa barani Ulaya.
 Ikiwa mipango hiyo itakubalika na kwenda inavyotakiwa, maana yake ni kuwa itakuwa mara yake ya kwanza. Awali,...