
Floyd
Mayweather (kulia) akiwa kwenye pati ya sherehe ya kuzaliwa kwa
mwanamuziki Chris Brown iliyofanyika usiku wa kuamkia leo klabu ya
Drai's mjini Las Vegas, Marekani.

Mayweather,
ambaye Alfajiri ya Jumapili alimpiga Manny Pacquiao kwa pointi katika
pambano la utajiri mkubwa kwenye historia ya ngumi za kulipwa, haopa
anahesabu dola za Kimarekani 100,000 kulipa bili usiku huo mjini Las
Vegas

Bondia
huyo ambaye hajawahi kupoteza pambano katika mara zote 48 alizopanda
ulingoni, hapa anatoa fedha kwenye begi lililoshikiliwa na mmoja wa
wapambe wake

Mayweather akiwa ameshikilia fedha wakati wa kusherehekea Chris Brown kutimiza miaka 26

Mayweather akizungumza na wageni waalikwa katika pati hilo
0 maoni:
Post a Comment