SAMATTA ATUPIA GENK IKIUA 2-1

Feb 28, 2015

SAMATTA :SINA FURAHA TP MAZEMBE

Samatta alikwenda kufanya majaribo CSK Moscow ya Urusi, lakini hakufanikiwa baada ya kupata majeruhi ya kifundo cha mguu Na Baraka Mbolembole, Dar es Salaam,  Mshambulizi wa kimataifa wa Tanzania, Mbwana Samatta ameweka wazi kuwa ataachana na mabingwa mara nne wa kihistoria wa Afrika,...

WALICHO FANYIWA AZAM FC SUDAN KABLA YA MECHI YA LEO

Azam FC leo saa mbili usiku itajitupa kwenye uwanja wa AlMerrikh kukwaana na Al Merrikh SC. Azam FC ambayo ilitua hapa Khartoum Jumanne 24/2/2015 imekuwa katika hali nzuri tangia kuwasili. Vijana wa kitanzania wanaosoma hapa Khartoum wamekuwa wenyeji wetu. Azam FC imekodi Apartment nzima,...

DI MARIA AJUTA KUJIUNGA MAN UNITED

Mchezaji wa Manchester United Angel Di Maria Mchezaji nyota ambaye pia ni kiungo wa kati wa Manchester United Angel Di Maria amesema kuwa alifanya makosa kujiunga na Kilabu ya Manchester United msimu uliopita. Raia huyo wa Argentina amejaribu kuingiana na maisha...

SIMBA YATAKATA TAIFA AJIBU APIGA HAT-TRICK

Na Richard Bakana, Dar es salaam Klabu ya Simba ya Jijini Dar es salaam leo imefanikiwa kutoa dozi ya msimu kwa maafande wa Tanzania Prisons, baada ya kuwafunga mabao 5-0 katika mchezo wa ligi kuu ya Tanzania bara uliopigwa katika uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam.  Katika mchezo huo...

VAN GAAL ATAJA TATIZO LA MAN UNITED

Kilabu ya Manchester United haiwezi kushinda taji la ligi kwa kuwa haina mshambuliaji mwenye uwezo wa kufunga mabao 20 kwa msimu. Meneja Luois Van Gaal amesema kuwa mshambuliaji mwenye mabao mengi katika klabu hiyo ni Van Persie mwenye mabao 10 pekee ikilinganishwa na Diego Costa na Sergio Aguerro...

KAPTENI JOHN KOMBA ALIYEIMBA 'MGENI' AFARIKI DUNIA

MBUNGE wa Mbinga Magharibi na mkurugenzi wa Tanzania One Theatre (TOT) Kapten John Komba amefariki dunia muda huu.Katibu mipango wa TOT, Gasper Tumaini ameithibitishia BIN ZUBEIRY jioni hii kwamba, Komba amefari na taarifa zaidi zitatoka hapo baadaye.Kwa muda mrefu tangu amestaafu jeshi, Komba...

Feb 27, 2015

MESSI WA MBEYA CITY AREJEA DIMBANI

BAADA ya kuwa nje kwa majeruhi muda mrefu, kiungo mshambuliji  wa Mbeya City Fc, Alex Seth ‘Messi’ amerejea kikosini tayari kuendeleza mapambano katika kindumbwendumbwe cha ligi kuu ya soka Tanzania Bara. Seth amekaririwa na Tovuti ya Mbeya City fc akisema kuwa anamshukuru Mungu kwa kupona...

AZAM WAZIPOTEZA FITINA ZA WASUDANI

  MABINGWA watetezi wa ligi kuu soka Tanzania bara na wawakilishi wa nchi katika michuano ya ligi ya mabingwa Afrika, Azam fc wanaendelea kujifua nchini Sudan kuelekea mechi ya marudiano dhidi ya wenyeji Al Merrick itayopigwa kesho jumamosi usiku uwanja wa Odmarman, mjini Khartoum. Azam...

MCHEZAJI SERBIA ATISHIWA KUUAWA KWA BUNDUKI KISA KUKOSA PENALTI

MCHEZAJI wa klabu ya Ligi Kuu ya Serbia, Novi Pazar ametishiwa kupigwa bastola na mashabiki baada ya kukosa penalti, taarifa ya chama cha Umoja wa Wachezaji Duniani, FIFPro imesema jana. Ikiliita tukio hilo kama sheria mpya katika soka ya Serbia, FIFPro imesema kwamba mchezaji...

PLUIJM AWAPA UHAKIKA YANGA SC WANALING’OA JESHI LA BOTSWANA AFRIKA

Na Mwandishi Wetu, GABORONEKOCHA Mkuu wa Yanga SC, Mholanzi Hans van der Pluijm amewatoa hofu wapenzi wa timu hiyo kuelekea mchezo wa leo dhidi ya BDX XI, akisema kwamba; “tiketi ya kusonga mbele ipo”.  Yanga SC wanatarajiwa kuwa wageni wa timu hiyo ya Jeshi la Botswana katika mchezo...

WAZIRI WA KIKWETE ATUA SUDAN KUIPA ULINZI AZAM FC

Naibu Waziri wa Habari Utamaduni Vijana na Michezo, Alhaj Juma Nkamia (kushoto) akizungumza na wachezaji wa Azam  FC mazoezini Uwanja wa Jeshi mjini Khartoum, Sudan usiku wa jana. Anayezungumza naye kulia ni mshambuliaji Mrundi, Didier Kavumbangu. Azam FC watacheza na wenyeji El Merreikh...

KURASA ZA MWANZO NA ZA MWISHO MAGAZETI YA MICHEZO LEO 27 FEB

. . . . . ....

NTAMPATA WAPI YA DIAMOND YASHIKA NAMBA 1 UFARANSA

. Kama wewe ni shabiki wa muziki wa Africa unaweza kuwa na hamu ya kufahamu ni single gani ambayo iko juu kwenye chati za muziki huu duniani…. kwa sababu kazi yangu ni kukusogezea zote muhimu, nakusogezea na hii kwamba video ya ‘Nitampata wapi’ ya Diamond Platnumz kupitia kituo cha TraceTV...

INTER MILAN NAYO YASONGA MBELE EUROPA LEAGUE

Van Dijk wa Celtic akigombea mpira na mshambuliaji wa Inter Milan, Mauro Icardi katika mchezo wa Europa League usiku huu mjini Milan. Inter walishinda 1-0 ma kusonga mbele kwa ushindi wa jumla wa 4-3, baada ya sare ya 3-3 awali nchini Scotland...

MCHEZAJI WA CHELSEA AIADHIBU SPURS NA KUITUPA NJE ULAYA

+23 Mshambuliaji wa Chelsea, Mohammed Salah anayecheza kwa mkopo Fiorentina ya Italia, akishangilia baada ya kuifungia timu yake ya mkopo bao la pili katika ushindi wa 2-0 dhidi ya Totenham Hotspur usiku nchini Italia katika mchezo wa Europa League. Bao la kwanza la Fiorentina lilifungwa...

LIVERPOOL YATUPWA NJE YA MICHUANO YA ULAYA

LIVERPOOL imetupwa nje ya michuano ya Europa League, baada ya kufungwa kwa penalti 5-4 na Besiktas kufuatia sare ya jula ya 1-1. Tolgay Arslan alitokea benchi na kuifungia Besiktas bao dakika ya 72 Uwanja wa Ataturk, Istanbul nchini Uturuki akimalizia ‘pande’ la Demba Ba na kufanya sare ya...

Feb 26, 2015

AZAM TV ‘KURUSHA LIVE’ MECHI YANGA NA BDF BOTSWANA KESHO

Rhys Torrington (kulia) akiwa na Mkurugenzi wa Azam Media Group Limited, Yussuf Bakhresa (kushoto) TELEVISHENI ya kisasa ya kulipia kwa gharama nafuu, Azam TV itaonyesha moja kwa moja mchezo wa marudiano wa Raundi ya Awali Kombe la...

CANNAVARO AHUKUMIWA KIFUNGO CHA MIEZI 10 JELA

NAHODHA wa kikosi cha Italia kilichobeba Kombe la Dunia mwaka 2006 nchini Ujerumani, Fabio Cannavaro amehukumiwa kifungo cha miezi 10 jela kwa kukiuka amri ya kutofika katika nyumba yake iliyozuiliwa na Mamlaka. Cannavaro mwenye umri wa miaka 41, amekuwa akichunguzwa kwa tuhuma za...

JULIO AANZA MANENO COASTAL UNION

Na Oscar Assenga, TANGAKOCHA Msaidizi wa Coastal Union, Jamhuri Kiwelu “Julio”amesema kuwa timu hiyo itapata matokeo mazuri katika mechi zake zilizosalia katika michuano ya Michuano ya Ligi kuu ya Vodacom Tanzania bara kutokana na ubora wa kikosi hichoJulio alitoa wito huo jana wakati...

HIKI NDIO KIKOSI BORA LIGI YA MABINGWA WIKI HII

...

TAIFA STARS YAPANGWA KUNDI A COSAFA, IKO NA ZIMBABWE, NAMIBIA

Timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) imepangwa Kundi A katika michuano  ya kombe la COSAFA nchini Afrika Kusini. Kundi A: Tanzania, Namibia, Lesotho na Zimbabwe. Kundi B: Shelisheli, Madagascar, Mauritius na Swaziland. Michuano ya kombe la Cosafa inatarajiwa kuanza kutimua...

SIMON SSERUNKUMA AREJEA KWAO UGANDA

Kiungo Simon Sserunkuma amerejea kwao Uganda kutokana na mafanikio ya kifamilia. Taarifa kutoka ndani ya Simba zimeeleza Sserunkuma amerudi Uganda kwa ajili ya shughuli ya arobaini ya mmoja wa wazazi wake. Sserunkuma ameondoka wakati Simba ikijianda akupambana na Prisons, keshokutwa. Kocha...

WAKENYA KUISHANGILIA YANGA BOTSWANA

Mashabiki wa soka wakiwemo Watanzania na raia wa Kenya na Uganda wameungana kuishangilia Yanga ambayo iko jijini hapa kuivaa BDF XI ya Botswana. Yanga inaovaa BDF XI katika mechi ya Kombe la Shirikisho itakayopigwa leo saa 1:30 kwa saa za hapa na saa 2:30 kwa saa za Afrika Mashariki. Katika...

ALICHOSEMA KOCHA YANGA KUELEKEA MECHI YA KESHO BOTSWANA

Na Bertha Lumala Kocha mkuu wa Yanga SC, Hans van der Pluijm amewataka wachezaji wake kuhakikisha wanatikisa nyavu za wapinzani wao BDF XI FC katika mechi yao ya kesho ya michuano ya Kombe la Shirikisho barani Afrika. Yanga SC, mabingwa mara 24 wa Tanzania Bara, watakuwa na kibarua kigumu mbele...

BAADA YA KIPIGO, OZIL AISUSA JEZI YAKE KWA MCHEZAJI WA MONACO

WAKATI KIUNGO BERNADO WA AS MONACO ALIMFUATA MESUT OZIL WA ARSENAL WABADILISHANE JEZI BAADA YA MECHI YA LIGI YA MABINGWA ULAYA KWENYE UWANJA WA EMIRATES, LONDON. ALIJIKUTA AKISUSIWA JEZI HIYO NA OZIL WALA HAKUTANA KUCHUKUA YA BENADO, HALFU HUYOOO AKAONDOKA ZAKE. ARSENAL ILILALA KWA MABAO...

ATLETICO MADRID YALALA BAO 1-0 DHIDI YA WAJERUMANI

. FERNANDO TORRES (KULIA) AKIKIMBIA KUMLALAMIKIA MWAMUZI BAADA YA KIKOSI CHAKE KUFUNGA BAO LILILOKATALIWA. ATLTETICO MADRID IKIWA UGENINI IMELALA KWA BAO 1-0 DHIDI YA WENYEJI WAKE BAYER LEVERKUSEN. ...

ZIPO HAPA KURASA ZA MWANZO NA ZA MWISHO ZA MAGAZETI YA MICHEZO LEO FEB 26

. . . . . . . ....