Na Haji balou
Timu ya Bournemouth imekamilisha usajili wa winga wa Liverpool Jordan Ibe kwa Ada ya Euro million 15.
Ibe amesaini mkataba wa miaka minne ya kuitumikia Timu hiyo inayotumia uwanja wa Vitality.
...
Na Haji balou
Mchezaji wa zamani wa Manchester United ya Uingereza Luis Nani amesaini mkataba mkataba wa miaka mitatu ya kuitumikia Valencià ya Hispània.
Nani amesajiliwa kwa Euro million 8.5 akitokea katika klabu ya Fenerbahce ya uturuki ambayo aliisaidia kushika nafasi ya pili nyuma ya mabingwa Besiktas.
...
Na Haji Balou
KOCHA Mkuu wa makipa wa Klabu
Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati Azam
FC, Jose Garcia, amesema kuwa makipa
aliowakuta ndani ya timu hiyo wapo
vizuri.
Kocha huyo hakusita kuelezea utofauti
wa makipa kutoka Tanzania na Hispania
mara baada ya kuwaona wa Azam FC,
ambapo alisema magolikipa...
Na Haji Balou
AKlabu za Ligi Kuu Bara kwa ajili ya msimu
mpya ligi kuu bara 2016/2017, kwa kuboresha
baadhi ya maeneo yenye mapungufu na
kuyaongezea nguvu.
Atupele Green (ametoka Ndanda kwenda
JKT Ruvu)
Mfungaji bora wa kombe la shirikisho FA na
klabu ya Ndanda kwa msimu uliomalizika
amemwaga wino...
Na Haji balou
Kipa wa zamani wa Fc barcelona Na Manchester united Victor Valdez amesaini mkataba wa miaka miwili Na klabu ya Middlesbrough ya nchini England.
Valdez mwenye umri wa miaka 34 amekuwa Na wakati mgumu tangu atue Manchester united akitokea Barcelona baada ya kukosa nafasi ya kucheza...
Na Haji balou
Mchezaji wa timu ya Simba Peter manyika Jr amesema yeye ni mmoja kati ya wachezaji wenye nidhamu isipokuwa mashabiki wengi wanamsema kutokana Na jinsi wanavyo mwona.
Manyika alisema hayo alipokuwa akihojiwa Na Sauda mwilima kupitia kipindi cha Mcheza kwao kinachorushwa na channeli ya...
Na Haji balou
Timu ya Inter Milan imekalilisha usajili wa kiungo wa Sevila Na timu ya taifa ya Argentina Ever banega kwa mkataba wa miaka mitatu.
Banega aliisaidia Sevilla kuchukua mataji mawili mfululizo ya kombe la Europe league Na sasa ameamua kwenda Italy kwa uhamisho huru ili kitafuta changamoto...
NA Haji Balou
Beki wa kati wa timu ya simba Hassan Isihaka amesema bado hajajua mustakabali wake Na timu yake ya simba katika msimu ujao.
“Wao bado hawajanifuata na mimi niko
njia panda kwani sifahamu lolote juu ya
maisha yangu ya Simba kama nitakuwepo
kwenye timu katika msimu ujao ama la,
lakini ni...
Na Haji balou
Msanii mkongwe wa muziki, Abbas Hamisi
Kinzasa ‘20%’ amerudi katika label yake ya
zamani ‘Combination Sound’ inayosimamiwa na
mtayarishaji mkongwe wa muziki nchini Man
Water.
Muimbaji huyo ambaye mwaka 2011 alitwaa
tuzo saba za Kilimanjaro Music Award (KTMA)
kwa mara moja, huku producer...
Na Haji balou
FC BARCELONA imesibitisha kumsajili kiungo wa timu ya Villarreal Denis Suarez Na kesho anatarajiwa kupimwa afya.
Suarez mwenye umri wa miaka 22 alicheza Barcelona B kabla ya kuondoka kuamia Sevilla Na baadae kujiunga Na Villarreal ambayo aliisaidia mpaka kufika hatua ya nusu fainali Na ...
Na Haji balou
Klabu ya Real madrid tayari Kutoa euro million 35 ili kumnasa kipa namba moja wa Totenham Na Timu ya taifa ya Ufaransa Hugo Lloris.
Kama Hugo Lloris atajiunga Na Real Madrid atakuwa mchezaji watatu kujiunga Na Real Madrid akitokea Totenham kwa kipindi cha hivi karibuni ...
Na Haji Balou
Timu ya Manchester United imeiambia Timu ya Juventus kuwa wapo tayari kutoa Euro million 100 kwa ajilii ya kiungo Paul Pogba.
Manchester United wapo tayari kumlipa uero 250,000 kwa wiki kwa staa huyo wa Ufaransa mwenye umri wa miaka 23.
...
Na Haji balou
Neymar wa Barcelona ndiye anachukua
mshahara mkubwa zaidi kwa mwaka
mmoja anafuatiwa na Messi na hivyo
kuifanya Barcelona kuwa inalipa mshahara
mkubwa zaidi ikifuatiwa na Madrid.
10 BORA HII HAPA:
1.Neymar: euro milioni 56
2..Messi: euro milioni 50
3.Cristiano: euro milion 47.5
4..Ibrahimovic:...
Na Haji balou
SIMBA SC imemaua –
baada ya kuingia Mkataba
na kocha Mcameroon
Joseph Marius Omog sasa
imehamia kwenye kusajili
wachezaji bora wa kigeni.
Wakati tayari ikiwa imefikia
makubaliano na
mshambuliaji wa kimataifa
wa Burundi, Laudit Mavugo
aje kusiani Mkataba wa
miaka miwili, Simba SC
inaleta...
Na Haji balou
TIMU ya Liverpool imekamilisha uhamisho wa staa wa Schalke 04 Na Timu ya taifa ya Cameroon Joel Matip.
Matip ambaye anacheza nafasi ya beki wa kati amejiunga Na Liverpool kwa uhamisho huru baada ya kumaliza mkataba Na Timu yake ya Schalke 04 ya Ujerumani.
.
...
Na Haji balou
TIMU ya Manchester city imekamilisha uhamisho wa Staa wa kimataifa wa Hispania Na Klabu ya Celta Vigo Manuel Agudo Durán "Nolito" Kwa Ada ya Euro million 13.8.
Nolito mwenye umri wa miaka 29 amesaini mkataba wa miaka minne ya kuitumikia Manchester City awali alikuwa anatakiwa Na...
Na Haji balou
Klabu ya Fc Barcelona wamekubali yaishe Na wameamua kukaa pamoja Na mchezaji wao Neymar ili kumbakiza katika kikosini katika msimu ujao.
Staa huyo wa Brazil alikuwa tayari kuihama klabu hiyo ya katalunya Kama watashindwa kuongeza mshahara wake katika msimu ujao.
Neymar mwenye umri...