SAMATTA ATUPIA GENK IKIUA 2-1

Sep 1, 2016

KIUNGO MTANZANIA APATA TIMU AFRIKA KUSINI

Na Haji balou KIUNGO wa zamani wa Simba SC na Azam FC, Abdulhalim Humud ‘Gaucho’ amejiunga na klabu ya Real Kings FC ya Ligi Daraja la Kwanza Afrika Kusini. Humud ambaye msimu uliopita alichezea Coastal Union ya Tanga iliyoshuka daraja kutoka Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara, amesaini mkataba wa mwaka...

Jul 15, 2016

JORDAN IBE AIHAMA LIVERPOOL

Na Haji balou Timu ya Bournemouth imekamilisha usajili wa winga wa Liverpool Jordan Ibe kwa Ada ya Euro million 15. Ibe amesaini mkataba wa miaka minne ya kuitumikia Timu hiyo inayotumia uwanja wa Vitality. ...

LUIS NANI ASAINI TIMU HII HAPA LA LIGA

Na Haji balou Mchezaji wa zamani wa Manchester United ya Uingereza Luis Nani amesaini mkataba mkataba wa miaka mitatu ya kuitumikia Valencià ya Hispània. Nani amesajiliwa kwa Euro million 8.5 akitokea katika klabu ya Fenerbahce ya uturuki ambayo aliisaidia kushika nafasi ya pili nyuma ya mabingwa Besiktas. ...

Jul 14, 2016

MHISPANIA WA AZAM FC ATAJA TOFAUTI YA MAKIPA WA HISPANIA NA TANZANIA

Na Haji Balou KOCHA Mkuu wa makipa wa Klabu Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati Azam FC, Jose Garcia, amesema kuwa makipa aliowakuta ndani ya timu hiyo wapo vizuri. Kocha huyo hakusita kuelezea utofauti wa makipa kutoka Tanzania na Hispania mara baada ya kuwaona wa Azam FC, ambapo alisema magolikipa...

WACHEZAJI KUMI WALIO KAMILISHA USAJILI LIGI KUU BARA

Na Haji Balou AKlabu za Ligi Kuu Bara kwa ajili ya msimu mpya ligi kuu bara 2016/2017, kwa kuboresha baadhi ya maeneo yenye mapungufu na kuyaongezea nguvu. Atupele Green (ametoka Ndanda kwenda JKT Ruvu) Mfungaji bora wa kombe la shirikisho FA na klabu ya Ndanda kwa msimu uliomalizika amemwaga wino...

Jul 7, 2016

VALDEZ ASAINI TIMU HII HAPA ENGLAND

Na Haji balou Kipa wa zamani wa Fc barcelona Na Manchester united Victor Valdez amesaini mkataba wa miaka miwili Na klabu ya Middlesbrough ya nchini England. Valdez mwenye umri wa miaka 34 amekuwa Na wakati mgumu tangu atue Manchester united akitokea  Barcelona baada ya kukosa nafasi ya kucheza...

MANYIKA JR AZUNGUMZIA SKENDO YA MAPENZI INAYOMKABILI

Na Haji balou Mchezaji wa timu ya Simba Peter manyika Jr amesema yeye ni mmoja kati ya wachezaji wenye nidhamu isipokuwa mashabiki wengi wanamsema kutokana Na jinsi wanavyo mwona. Manyika alisema hayo alipokuwa akihojiwa Na Sauda mwilima kupitia kipindi cha Mcheza kwao kinachorushwa na channeli ya...

Jul 6, 2016

KIUNGO WA SEVILLA ASAINI MILAN

Na Haji balou Timu ya Inter Milan imekalilisha usajili wa kiungo wa Sevila Na timu ya taifa ya Argentina Ever banega kwa mkataba wa miaka mitatu. Banega aliisaidia Sevilla kuchukua mataji mawili mfululizo ya kombe la Europe league Na sasa ameamua kwenda Italy kwa uhamisho huru ili kitafuta changamoto...

SIMBA YAMWEKA NJIA PANDA ISIHAKA

NA Haji Balou Beki wa kati wa timu ya simba Hassan Isihaka amesema bado hajajua mustakabali wake Na timu yake ya simba katika msimu ujao. “Wao bado hawajanifuata na mimi niko njia panda kwani sifahamu lolote juu ya maisha yangu ya Simba kama nitakuwepo kwenye timu katika msimu ujao ama la, lakini ni...

Jul 5, 2016

20% AKUBALI YAISHE ASAINI MIAKA MITANO KWA MAN WATER

Na Haji balou Msanii mkongwe wa muziki, Abbas Hamisi Kinzasa ‘20%’ amerudi katika label yake ya zamani ‘Combination Sound’ inayosimamiwa na mtayarishaji mkongwe wa muziki nchini Man Water. Muimbaji huyo ambaye mwaka 2011 alitwaa tuzo saba za Kilimanjaro Music Award (KTMA) kwa mara moja, huku producer...

Jul 4, 2016

SUAREZ MWINGINE ASAINI BARCELONA

Na Haji balou FC BARCELONA imesibitisha kumsajili kiungo wa timu ya Villarreal Denis Suarez Na kesho anatarajiwa kupimwa afya. Suarez mwenye umri wa miaka 22 alicheza Barcelona B kabla ya kuondoka kuamia Sevilla Na baadae kujiunga Na Villarreal ambayo aliisaidia mpaka kufika hatua ya nusu fainali Na ...

STAA MWINGINE TOTENHAM KUJIUNGA REAL MADRID

Na Haji balou Klabu ya Real madrid  tayari Kutoa euro million 35 ili kumnasa kipa namba moja wa Totenham Na Timu ya taifa ya Ufaransa  Hugo Lloris. Kama Hugo Lloris  atajiunga Na Real Madrid atakuwa mchezaji watatu kujiunga Na Real Madrid akitokea Totenham kwa kipindi cha hivi karibuni ...