SAMATTA ATUPIA GENK IKIUA 2-1

Sep 1, 2016

KIUNGO MTANZANIA APATA TIMU AFRIKA KUSINI

Na Haji balou KIUNGO wa zamani wa Simba SC na Azam FC, Abdulhalim Humud ‘Gaucho’ amejiunga na klabu ya Real Kings FC ya Ligi Daraja la Kwanza Afrika Kusini. Humud ambaye msimu uliopita alichezea Coastal Union ya Tanga iliyoshuka daraja kutoka Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara, amesaini mkataba wa mwaka...

Jul 15, 2016

JORDAN IBE AIHAMA LIVERPOOL

Na Haji balou Timu ya Bournemouth imekamilisha usajili wa winga wa Liverpool Jordan Ibe kwa Ada ya Euro million 15. Ibe amesaini mkataba wa miaka minne ya kuitumikia Timu hiyo inayotumia uwanja wa Vitality. ...

LUIS NANI ASAINI TIMU HII HAPA LA LIGA

Na Haji balou Mchezaji wa zamani wa Manchester United ya Uingereza Luis Nani amesaini mkataba mkataba wa miaka mitatu ya kuitumikia Valencià ya Hispània. Nani amesajiliwa kwa Euro million 8.5 akitokea katika klabu ya Fenerbahce ya uturuki ambayo aliisaidia kushika nafasi ya pili nyuma ya mabingwa Besiktas. ...

Jul 14, 2016

MHISPANIA WA AZAM FC ATAJA TOFAUTI YA MAKIPA WA HISPANIA NA TANZANIA

Na Haji Balou KOCHA Mkuu wa makipa wa Klabu Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati Azam FC, Jose Garcia, amesema kuwa makipa aliowakuta ndani ya timu hiyo wapo vizuri. Kocha huyo hakusita kuelezea utofauti wa makipa kutoka Tanzania na Hispania mara baada ya kuwaona wa Azam FC, ambapo alisema magolikipa...

WACHEZAJI KUMI WALIO KAMILISHA USAJILI LIGI KUU BARA

Na Haji Balou AKlabu za Ligi Kuu Bara kwa ajili ya msimu mpya ligi kuu bara 2016/2017, kwa kuboresha baadhi ya maeneo yenye mapungufu na kuyaongezea nguvu. Atupele Green (ametoka Ndanda kwenda JKT Ruvu) Mfungaji bora wa kombe la shirikisho FA na klabu ya Ndanda kwa msimu uliomalizika amemwaga wino...

Jul 7, 2016

VALDEZ ASAINI TIMU HII HAPA ENGLAND

Na Haji balou Kipa wa zamani wa Fc barcelona Na Manchester united Victor Valdez amesaini mkataba wa miaka miwili Na klabu ya Middlesbrough ya nchini England. Valdez mwenye umri wa miaka 34 amekuwa Na wakati mgumu tangu atue Manchester united akitokea  Barcelona baada ya kukosa nafasi ya kucheza...

MANYIKA JR AZUNGUMZIA SKENDO YA MAPENZI INAYOMKABILI

Na Haji balou Mchezaji wa timu ya Simba Peter manyika Jr amesema yeye ni mmoja kati ya wachezaji wenye nidhamu isipokuwa mashabiki wengi wanamsema kutokana Na jinsi wanavyo mwona. Manyika alisema hayo alipokuwa akihojiwa Na Sauda mwilima kupitia kipindi cha Mcheza kwao kinachorushwa na channeli ya...

Jul 6, 2016

KIUNGO WA SEVILLA ASAINI MILAN

Na Haji balou Timu ya Inter Milan imekalilisha usajili wa kiungo wa Sevila Na timu ya taifa ya Argentina Ever banega kwa mkataba wa miaka mitatu. Banega aliisaidia Sevilla kuchukua mataji mawili mfululizo ya kombe la Europe league Na sasa ameamua kwenda Italy kwa uhamisho huru ili kitafuta changamoto...

SIMBA YAMWEKA NJIA PANDA ISIHAKA

NA Haji Balou Beki wa kati wa timu ya simba Hassan Isihaka amesema bado hajajua mustakabali wake Na timu yake ya simba katika msimu ujao. “Wao bado hawajanifuata na mimi niko njia panda kwani sifahamu lolote juu ya maisha yangu ya Simba kama nitakuwepo kwenye timu katika msimu ujao ama la, lakini ni...

Jul 5, 2016

20% AKUBALI YAISHE ASAINI MIAKA MITANO KWA MAN WATER

Na Haji balou Msanii mkongwe wa muziki, Abbas Hamisi Kinzasa ‘20%’ amerudi katika label yake ya zamani ‘Combination Sound’ inayosimamiwa na mtayarishaji mkongwe wa muziki nchini Man Water. Muimbaji huyo ambaye mwaka 2011 alitwaa tuzo saba za Kilimanjaro Music Award (KTMA) kwa mara moja, huku producer...

Jul 4, 2016

SUAREZ MWINGINE ASAINI BARCELONA

Na Haji balou FC BARCELONA imesibitisha kumsajili kiungo wa timu ya Villarreal Denis Suarez Na kesho anatarajiwa kupimwa afya. Suarez mwenye umri wa miaka 22 alicheza Barcelona B kabla ya kuondoka kuamia Sevilla Na baadae kujiunga Na Villarreal ambayo aliisaidia mpaka kufika hatua ya nusu fainali Na ...

STAA MWINGINE TOTENHAM KUJIUNGA REAL MADRID

Na Haji balou Klabu ya Real madrid  tayari Kutoa euro million 35 ili kumnasa kipa namba moja wa Totenham Na Timu ya taifa ya Ufaransa  Hugo Lloris. Kama Hugo Lloris  atajiunga Na Real Madrid atakuwa mchezaji watatu kujiunga Na Real Madrid akitokea Totenham kwa kipindi cha hivi karibuni ...

Jul 3, 2016

MAN UNITED KUVUNJA REKODI USAJILI WA POGBA

Na Haji Balou Timu ya Manchester United imeiambia Timu ya Juventus kuwa wapo tayari kutoa Euro million 100 kwa ajilii ya kiungo Paul Pogba. Manchester United wapo tayari kumlipa uero 250,000 kwa wiki kwa staa huyo wa Ufaransa mwenye umri wa miaka 23. ...

MJUE STAA ANAYELIPWA MSHAHARA MKUBWA ZAIDI YA MESSI NA RONALDO

Na Haji balou Neymar wa Barcelona ndiye anachukua mshahara mkubwa zaidi kwa mwaka mmoja anafuatiwa na Messi na hivyo kuifanya Barcelona kuwa inalipa mshahara mkubwa zaidi ikifuatiwa na Madrid. 10 BORA HII HAPA: 1.Neymar: euro milioni 56 2..Messi: euro milioni 50 3.Cristiano: euro milion 47.5 4..Ibrahimovic:...

NDUGU WA KIPRE KUSAJILI SIMBA

Na Haji balou SIMBA SC imemaua – baada ya kuingia Mkataba na kocha Mcameroon Joseph Marius Omog sasa imehamia kwenye kusajili wachezaji bora wa kigeni. Wakati tayari ikiwa imefikia makubaliano na mshambuliaji wa kimataifa wa Burundi, Laudit Mavugo aje kusiani Mkataba wa miaka miwili, Simba SC inaleta...

Jul 2, 2016

LIVERPOOL YAONGEZA KIFAA KIPYA KUIMARISHA ULINZI

Na Haji balou TIMU ya Liverpool imekamilisha uhamisho wa staa wa Schalke 04 Na Timu ya taifa ya Cameroon Joel Matip. Matip ambaye anacheza nafasi ya beki wa kati amejiunga Na Liverpool kwa uhamisho huru baada ya kumaliza mkataba Na Timu yake ya Schalke 04 ya Ujerumani. . ...

Jul 1, 2016

PEP GUARDIOLA AMEMSAJILI STAA HUYU HAPA KUTOKA SPAIN

Na Haji balou TIMU ya Manchester city imekamilisha uhamisho wa Staa wa kimataifa wa Hispania Na Klabu ya Celta Vigo Manuel Agudo Durán "Nolito" Kwa Ada ya Euro million 13.8. Nolito mwenye umri wa miaka 29 amesaini mkataba wa miaka minne ya kuitumikia Manchester City awali  alikuwa anatakiwa Na...

HAYA NDIO MAAMUZI YA BARCELONA KUHUSU NEYMAR

Na Haji balou Klabu ya Fc Barcelona wamekubali yaishe Na wameamua kukaa pamoja Na mchezaji wao Neymar ili kumbakiza katika kikosini  katika msimu ujao. Staa huyo wa Brazil alikuwa tayari kuihama klabu hiyo ya katalunya Kama watashindwa kuongeza mshahara wake katika msimu ujao. Neymar mwenye umri...

Jun 30, 2016

GUARDIOLA ANAMTAKA STAA HUYU WA BARCELONA

Na Haji balou Kocha mpya wa Manchester City Pep Guardiola anampango wa kumsajili kipa namba moja wa Timu ya Taifa ya Chile Na Klabu ya Fc Barcelona ya nchini Hispania Claudio Bravo. Guardiola anataka kumsajili Bravo ambaye ameisaidia Timu yake ya  Taifa kushinda kombe la Copa America lakini pia...

ATLETICO MADRID KUIBOMOA LIVERPOOL KWA STAA HUYU HAPA

Na Haji balou Gazeti moja la nchini Hispania limeripoti kuwa Timu ya Atletico Madrid imeanza mazungumzo Na klabu ya Liverpool kwa ajili ya kumchukua mshambuliaji wa Timu hiyo Christian Benteke. Benteke raia wa Ubelgiji amekuwa Na wakati mgumu katika kikosi cha Liverpool mbele Daniel Sturridge Na Divock...

Jun 27, 2016

HAYA NDIO MAAMUZI MAGUMU ALIYOYAFANYA LIONEL MESSI

Na Haji balou MAUMIVU ya moyo yamemshinikiza Mwanasoka Bora wa Dunia, Lionel Messi kustaafu kuichezea timu yake ya taifa ya Argentina baada ya jana kufungwa katika fainali ya tatu mfululizo ya Copa America ndani ya miaka mitatu. Messi si mgonjwa wa moyo, bali ameumizwa n a kitendo cha kukosa penalti...

Jun 25, 2016

NYOTA WA UBELGIJI AKARIBIA KUSAINI ARSENAL

Na Haji balou Baada ya kumkosa staa wa Leicester city Jamie vard kocha wa Arsenal Arsene Wenger ameamua kuamishia nguvu zake kwa staa wa Everton na Timu ya taifa Ubelgiji Romelu Lukaku. Mwandishi wa habari za michezo nchini Italy ameripoti kuwa Lukaku amekubali dili la kusaini Arsenal dili hili limekuja...

LIVERPOOL YAKARIBIA KUMSAJILI STAA HUYU HAPA

Na Haji balou Timu ya Liverpool ipo tayari kutoa Euro million 30 kwa Timu ya Southampton kwaajili ya kuinasa saini ya Mshambuliaji wa Timu hiyo Sadio Mane Raia wa Senegal. Kocha wa Liverpool Juggen kloop amekuwa akimfuatilia kwa karibu Mshambuliaji huyo tangu alipo wafunga goli mbili katika mchezo...

Jun 22, 2016

WALICHOSEMA REAL MADRID KUHUSU ALVARO MORATA

Na Haji balou Timu ya Real Madrid imethibitisha kuwa nampango wa kumsajili Alvaro Morata kutoka Juventus msimu huu. Morata alijiunga na Mabingwa wa Italy Juventus mwaka 2014 akitokea Real Madrid kwa mkataba wa miaka minne (4) uliogharimu Euro million 20 lakini vigogo hao wa Spain wapo tayari...

YANGA WAMEFIKIA HAPA KUHUSU HASSAN KESSY KUCHEZA MICHUANO YA CAF

Na Haji Balou YANGA wamewaandikia barua Simba SC kuwajulisha kumsajili beki Hassan Ramadhan Kessy na kuuliza kama kuna pingamizi lolote kutoka kwao, na wakati huo huo nakala zimepelekwa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) na Shirikisho la Soka Afrika (CAF). Yanga ilishindwa kumtumia Kessy Jumapili katika mchezo...

MAYANJA AREJEA DAR KUANZA MAANDALIZI YA MSIMU MPYA

Na Haji Balou KOCHA wa Simba, Mganda Jackson Mayanja anatarajiwa kuwasili Juni 25 au Juni 26 na siku moja baadaye ataanza programu ya mazoezi ya kujiandaa na msimu mpya. Hayo yamesemwa na Mwenyekiti wa Kamati ya Usajili ya Simba, Zacharia Hans Poppe alipozungumza na mwandishi wetu  leo kuhusu...

MZAMBIA WA YANGA APEWA JEZI YA COUTINHO

Na Haji balou SIKU chache baada ya kusaini mkataba wa miaka miwili ya kuichezea Yanga, uongozi wa Yanga umemkabidhi jezi namba saba mshambuliaji wake Mzambia, Obrey Chirwa. Chirwa alitua nchini wiki iliyopita akitokea FC Platinum ya Zimbabwe aliyokuwa anaichezea pamoja na mshambuliaji tegemeo, Donald...

Jun 20, 2016

YANGA YAANZA VIBAYA KOMBE LA SHIRIKISHO

Na Haji balou YANGA SC imeanza vibaya mechi za Kundi A Kombe la Shirikisho Afrika, baada ya kufungwa bao 1-0 wenyeji Mouloudia Olympique Bejaia Uwanja wa Unite Maghrebine mjini Bejaia usiku huu. Goli pekee la MO Bejaia alikuwa ni beki Yassine Salhi aliyefunga bao hilo pekee dakika ya 20, akimalizia...

Jun 10, 2016

DALILI MPYA YA IBRAHIMOVIC KUHAMIA MAN UTD

Na Haji balou Staa wa zsmani wa klabu ya Paris Saint Germain ya Ufaransa Zlatan Ibrahimovich kuhusishwa kujiunga na klabu ya Man United zimechukua sura mpya, Zlatan anaripotiwa kukamilisha hatua ya nne ya kujiunga na klabu ya Manchester United . Dalili inayotajwa kuwa staa huyo yupo mbioni au katika...

Jun 4, 2016

IBRAHIMOVIC ATAJIUNGA NA TIMU HII ENGLAND

Na Haji balou Sky Sport wameripoti kuwa Zlatan Ibrahimovic  atakamilisha usajili wa kujiunga na Man United wakati wowote kuanzia sasa ila ni kabla ya michuano ya mataifa ya Ulaya kuanza, Sky Sport wanaeleza kuwa kocha wa Man United Jose Mourinho amepanga kusajili mshambuliaji mmoja katika dirisha...

Jun 3, 2016

ULIMWENGU HATARINI KUWAKOSA MISRI

Na Haji balou MSHAMBULIAJI wa TP Mazembe ya DRC, Thomas Emmanuel Ulimwengu 'Rambo' jana hakufanya mazoezi na timu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars kwa sababu ya maumivu ya mguu. Ulimwengu baada ya kuwasili na wachezaji wenzake Uwanja wa Taifa, alijaribu kufanya mazoezi ya awali ya kuamsha misuli kidogo,...

May 29, 2016

BODABODA FC YATINGA NUSU FAINAL

Na Haji balou Leo mei 29 kulikuwa na mchezo wa robo fainali mchezo ulipigwa ktk uwanja wa Shule ya msingi  muungano kati ya timu  Likongowele fc vs Bodaboda fc. Mpaka mchezo unamalizika Likongowele fc o-2 Bodaboda Magoli yote ya Boda Boda fc  yalifungwa na faraja katika dk 25 na dk...

May 28, 2016

NGASSA AITAJA TIMU INAYO MWITAJI VPL

Na Haji balou Pamoja na uongozi wa Free State Stars ya Afrika Kusini kumzuia kiungo wake mshambuliaji, Mrisho Ngassa kumtoa kwa mkopo, nyota huyo amewatoa hofu mashabiki wa Yanga na kuwaambia siku si nyingi anarejea kwenye klabu hiyo. Ngassa ameitoa kauli hiyo muda mfupi baada ya kuwasili nchini kisha...

NGASSA AITAJA TIMU INAYO MWITAJI VPL

Na Haji balou Pamoja na uongozi wa Free State Stars ya Afrika Kusini kumzuia kiungo wake mshambuliaji, Mrisho Ngassa kumtoa kwa mkopo, nyota huyo amewatoa hofu mashabiki wa Yanga na kuwaambia siku si nyingi anarejea kwenye klabu hiyo. Ngassa ameitoa kauli hiyo muda mfupi baada ya kuwasili nchini kisha kutazama mechi ya fainali ya Kombe la FA kati ya Yanga na Azam FC kwenye Uwanja wa Taifa, Dar ambapo...

HABARI NJEMA KWA WAKAZI WA TANGA BAADA YA TIMU ZAO TATU KUSHUKA DARAJA

Na Haji balou KAIMU Katibu Mkuu wa Coastal Union, Salim Bawazir amesema timu hiyo sasa itakuwa chini ya usimamizi wa Nassor Binslum pamoja na uongozi wa Chama cha Soka Mkoa wa Tanga (TRFA) kwa ajili ya kuiwezesha kushiriki vyema Ligi Daraja la Kwanza (FDL) ili irejee Ligi Kuu Bara. Akizungumza na Mwanaspoti...

May 27, 2016

WACHEZAJI AZAM FC WAPEWA MAPUMZIKO

WACHEZAJI wa Klabu Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati Azam FC, wamepewa mapumziko ya wiki tano baada ya kumaliza mechi ya mwisho ya msimu wa 2015/16 dhidi ya Yanga kwenye mchezo wa fainali ya Kombe la Shirikisho (Azam Sports Federation Cup) juzi jioni. Azam FC inayodhaminiwa na Benki ya NMB ambayo ni...

HAYA NDIO MASHINDANO MAPYA YANAYO DHAMINIWA NA AZAM TV

KAMPUNI ya Azam Media Limited leo imeingia Mkataba na Shirikisho la Mpira wa miguu Tanzania (TFF) wenye thamani ya Sh.Bilioni 2 kurusha matangazo ya moja kwa moja ya Ligi Kuu ya Wanawake Tanzania na Ligi Kuu ya Vijana wa umri chini ya miaka 20. Zoezi hilo limefanyika Ofisi za makao Makuu ya Azam Media...

MUSSA MGOSI ATAJA VITU VIWILI AMBAVYO HAWEZI KUVISAHAU MSIMU HUU

Na Haji balou Mshambuliaji mkongwe wa Simba Musa Hassan Mgosi kupitia Simba news amesema kuna vitu viwili ambavyo hatavisahau baada ya msimu huu wa VPL kumalizika huku klabu yake ikiangukia nafasi ya tatu kwenye msimamo wa ligi. “Kuna mambo mengi ambayo yametokea kwenye msimu wa 2015-16 lakini kwa...

May 26, 2016

ROBO FAINAL VIJANA CUP YAANZA RASMI LEO

Na Haji balou Hatua ya robo final ya ligi ya mbuzi vijana cup imeanza Leo kwa mchezo mmoja kupigwa  katika uwanja wa Shule ya msingi muungano. Mchezo huo ulikuwa ni kati ya wakaanga sumu fc  dhidi ya kigamboni fc Mchezo ulio malizika kwa wakaanga sumu kuibuka Na ushindi wa goli 2-1. ...

May 24, 2016

LIGI YA MBUZI VIJANA CUP YAMALIZIKA HATUA YA MAKUNDI KWA SIDO FC KUIBUKA NA USHINDI

Na Haji balou Ligi ya Mbuzi Vijana cup imeendelea tena hii Leo kwa mchezo mmoja kupigwa katika  uwanja wa shule ya msingi muungano katika kuhitimisha hatua ya makundi kati ya Sido fc dhidi ya Vijuso fc mchezo ambao umemalizika kwa Sido kuibuka Na goli 1-0. Goli pekee la Sido fc lilifungwa Na Haikosi...

YANGA KUPAMBANA NA TP MAZEMBE KOMBE LA SHIRIKISHO

Na Haji balou YANGA SC imepangwa kundi la A katika Kombe la Shirikisho Afrika pamoja na mabingw awa zamani barani, TP Mazembe ya DRC, MO Bejaia ya Algeria na Medeama ya Ghana. Kundi B linaundwa na timu za Kaskazini mwa Afrika tupu ambazo ni Etoile du Sahel ya Tunisia ambao ni  mabingwa watetezi,...

May 23, 2016

KIGAMBONI FC YAENDELEA KUTOA DOZII

Na Haji balou Mchezo wa Ligi ya Mbuzi Vijana Cup imeendelea tena hii Leo Kwa Mchezo kati ya Kigamboni fc dhidi  Mnalani Mchezo ambao umemalizika Kwa Kigamboni kuibuka Na Ushindi wa goli 2-1. Ligi hiyo inaendelea tena hapo kesho Kwa Mchezo mmoja kupigwa kati ya Vijuso dhidi ya Sido mchezo utakao...

May 22, 2016

WAKAANGA SUMU WAPEWA POINT BILA KUTOKA JASHO

NA Haji balou Ligi ya mbuzi vijana cup imeendelea tena leo  may 22 kwa mchezo mmoja kati ya kati ya Black star dhidi ya Wakaanga Sumu Lakini timu ya Black star haikujitokeza uwanjani na haijatoa taarifa yeyote kwa uongozi wa Ligi . Uongozi wa ligi unalazimika kutoa pointi tatu kwa timu ya Wakaanga...

May 19, 2016

NANGANDO WAN'GAA LIGI YA MBUZI VIJANA CUP

Na Haji Balou Ligi ya mbuzi vijana cup Leo iliendelea ktk uwanja wa shule ya msingi Muungano kati ya Likongowele fc dhidi ya Nangando fc Mpaka dakika 90 zinamalizika Nangando fc imeibuka Na ushindi wa goli 4-2. Magoli ya Nangando yalifungwa Dakika ya 5 na Shehani Chikanga Dakika ya 10 na Ligubi Ligubi Dakika...

May 18, 2016

SIDO FC YATOKA SARE DHIDI YA WAKAANGA SUMU KUBOTA NA ZFC ZAFUNGIWA

Na Haji balou Mchezo kati ya Sido fc dhidi ya Wakaanga sumu umemalizika katika uwanja wa shule ya msingi muungano kwa sare ya goli 2-2. Katika kipindi cha kwanza magoli ya Sido fc walifungwa namo dakika ya 7 na 15 yote yakipachikwa na Haikosi Mpwate na goli la Wakaanga Sumu likufungwa na  Bocho...

ORODHA YA TOP 10 WAFUNGAJI BORA ULAYA MESSI CHALIII

Na Haji balou Luis Suarez (29) kwa mara ya kwanza alipata tuzo hiyo mwaka 2014 baada ya kufungana magoli na Cristiano Ronaldo wakati huo akiwa Liverpool akifunga magoli 31 na kuwa mfungaji bora pia wa EPL. Suarez amekuwa ni mchezaji wa kwanza La Liga mbali ya Messi na Ronaldo kushinda tuzo ya ufungaji...